KERO Baada ya kuanza kwa safari za SGR, hizi ni changamoto zake zilizojitokeza

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Silaumu, hii ni tathmini ya kawaida kwenye mradi kama huu, najaribu kuangalia changamoto zilizojitokeza ili TRC waboreshe, ndio lengo la huu uzi, huo ni mradi wa matrilioni hatupendi kuona unatuletea aibu ndogondogo, nadhani hata TRC wanafuatilia hizi changamoto kwa maboresho, bila kusema hayo ndio mwanzo wa reli kufa.
 
Kwasababu ni chetu watanzania tunaanza kukinanga badala ya kupongeza uthubutu tuliouonyesha wa mojawapo ya huduma bora duniani! Nchi nyingi hazina SGR ukumbuke!
 
Ttz la huduma za serikali 100% zinafeli kwa sababu ya ubovu wa watoa huduma,UDart km imekufa tyr,TTCL janga kubwa sana,angalau tanesco is much better now days so sishangai hayo usemayo.
 
Safari zimeanza rasmi au ilikua majaribio
 
vipi wewe kwenye familia Yako Kila kitu Kipo sawa... jamani tusiwe wakosoaji wa Kila kitu
 
Huduma za kwenye treni ni tofauti na huduma nyingine ? Yaani mtu anaweza akawa na huduma nzuri kwenye ndege au kwenye kuuza genge na akashindwa kwenye treni ?
 
Huduma za kwenye treni ni tofauti na huduma nyingine ? Yaani mtu anaweza akawa na huduma nzuri kwenye ndege au kwenye kuuza genge na akashindwa kwenye treni ?
 
mimi nimecheka sababu mchumba angu ephen_ amecheka 🤣
 
w
watu special????
 
Mbona unaangalia vitu unnecessary vipi kuhusu muda uliotumika kutoka point A Hadi B?
 
Mbona unaangalia vitu unnecessary vipi kuhusu muda uliotumika kutoka point A Hadi B?
toka hapo ukimani utembee dunia uone kama hiyo ni unnecessary. mmesharogwa na ccm mkajua dunia ni kama hapo ukimani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…