KERO Baada ya kuanza kwa safari za SGR, hizi ni changamoto zake zilizojitokeza

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Mtoto wa mama utamjua tu.
 
Kila Mtanzania anataka huduma perfect kwa ajili yake.jambo ambalo haliwezekani. Mapungufu ya hapa na pale hayakosekani.
Kwa nini unadhani mtanzania hatakiwi kupata huduma bora and perfect? Kuna miujiza gani kwenye kufanya huduma isiwe perfect? Kama watoa huduma binaf kama Azam marine, buses kama Tilisho,BM etc wanaweza kutoa huduma bora kabisa kwa abiria why not government operated Ventures?
 
Sasa ndio kwanza treni imefanya safari moja wakuu kweli mnataka kusiwe na changamoto yoyote kweli?

Unawalaumu hao wahudumu hawana uzoefu, like serious mkuu?
Hivi wewe mtanzania ni nani alikudanganya kuwa kila huduma mpya ni lazima iwe na changamoto? Mbona kuna nchi kibao wanaanza huduma bila kuwa changamoto?
 
Kila Mtanzania anataka huduma perfect kwa ajili yake.jambo ambalo haliwezekani. Mapungufu ya hapa na pale hayakosekani.
Mapungufu gani? Nauliza kwa sababu Tanzania uzembe ndiyo umebatizwa kuwa '' mapungufu'' au ''changamoto''.
 
Hakuna huduma perfect.
 
Hakuna huduma perfect.
Mkuu sipingani na wewe but huwezi kunishawishi eti kuna changamoto ya tiketi hapo SGR wakati kwenye mabus kila siku tunafanya booking na kukata tiketi kwa simu tuu. Siku ya safari ukifika stend unaonyesha msg wanaprint tiketi, na hakuna siti kuingiliana. Wao wanashindwa je? Haya kuna ulazima gani kufika station 3 hrs kabla ya muda wa kuondoka? Why? Kingine pale Morogoro station hapo njema ya jengo umeona hilo vumbi?? Subiri mvua inyeshe hilo tope lake sasa!! Je hii nayo inahitaji pesa ya mkopo kuboresha parkings?
 
wabongo bwana.
huu ni mwanzo tu wa huduma,changamoto lazma zijitokeze.maboresho yatafanywa nina imani iyo.
 
Mnakomalia kitu ambacho it was just a glitch. Hilo tatizo halipo tena.
Duh sasa na vumbi la mji tena mnataka muwalaumu TRC?
Hio kufika station 2hrs before wala sioni mantiki sana sana ndio wanasababisha msongamano usio wa lazima
 
Hata majuzi tuu nimeona hilo tatizo kwa sababu niko Kihonda very close na hiyo station, i know what am talking about. Kama hata vumbi hapo nje ya jengo la SGR unaona siyo jukumu lao sioni sababu ya kuendelea kujadiliana na wewe.
 
Wewe endelea kulalamika watu tunapata huduma na tumeridhika. Wasalimie Kihonda. Kukaa karibu na kiwanda sio kupata kazi kiwandani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…