safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,837
- 17,412
Sasa huo nfo unakuwa sio ustaarabu hasa. Kama alienda mwanzo sasa hivi akienda ndo utakuwa ni ukuda. Aende kufanya nini sasa,akawatambie au ?
Akienda italeta tafsiri mbaya mkuu kwao. Jambo la msiba halitakiwi kukuzwa tena kila siku utoneshe kidonda hapana,msiba ni jambo linalotakiwa kupita na kusahauliwa.
Kwa sababu binadamu tunahitaji furaha na sio huzuni,Mungu aliyeweka watu waishi na wafe ana maana yake.