Baada ya kuapishwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Bashiru Ally alipaswa kwenda "rasmi" kuipa pole familia ya Balozi Kijazi. Huu ndio uungwana

Sasa huo nfo unakuwa sio ustaarabu hasa. Kama alienda mwanzo sasa hivi akienda ndo utakuwa ni ukuda. Aende kufanya nini sasa,akawatambie au ?

Akienda italeta tafsiri mbaya mkuu kwao. Jambo la msiba halitakiwi kukuzwa tena kila siku utoneshe kidonda hapana,msiba ni jambo linalotakiwa kupita na kusahauliwa.

Kwa sababu binadamu tunahitaji furaha na sio huzuni,Mungu aliyeweka watu waishi na wafe ana maana yake.
 
Kama linatakiwa kupita na kusahauliwa mbona wanafanya video shooting na kupiga picha? Lengo ni nini?
 
Kama linatakiwa kupita na kusahauliwa mbona wanafanya video shooting na kupiga picha? Lengo ni nini?...
Sasa mimi ndo napiga hizo video shooting ?

Mimi nimetoa msimamo wangu alafu wewe unanihoji juu ya misimamo ya wengine inakuwaje mkuu.

Nimekupa msimamo wangu mimi,laiti ungeniona mimi ndo napiga hizo shooting ndo ungeniuliza,sasa wanaofanya ni wengine waniuliza mie siweji kuwajibia.

Neno langu sio sheria.
 
Sasa mimi ndo napiga hizo video shooting ?

Mimi nimetoa msimamo wangu alafu wewe unanihoji juu ya misimamo ya wengine inakuwaje mkuu.
Hahahahaaaa mzee baba nimekubana pabaya. Wewe umesema kuwa familia ya marehemu inapaswa kusahau msiba na sio kuwatonesha kidonda mara kwa mara ndio maana nikakuuliza mbona hao familia wanafanya video shooting kama wanapenda kuusahau msiba?

Kuna sehemu nimesema wewe unafanya video shooting?

Kwa ufupi ni kwamba, hoja yako ni mufilisi kaka mkubwa...
 
Ebu onesha sehemu niliposema kuwa "FAMILIA YA MAREHEMU WANAPASWA KUSAHAU MSIBA"

wapi nimetia neno familia ya marehemu ?
 
"Alikuwa political figure and he was not a public servant"
Mtoa mada inamaana umeshindwa kujua Maana ya public servant? Bashiru alikuwa public servant kwasababu alikuwa kiongozi wa CCM ambao Ni Umma wa Watanzania. Usifikirie public servant ni mtumishi wa umma tu,lahasha ni mtu yoyote anayewatumikia Watu na analipwa kutokana na michango yao au Kodi zao.
So don't be confused brother
 
Ndio mkuu neno lako sio sheria lakini hoja yako pia haina mashiko hata kidogo. Marehemu ni lazima akumbukwe whatsoever na mzee wetu Bashiru alipaswa kwenda kama Chief Secretary.
 
binadamu tunahitaji furaha na sio huzuni,Mungu aliyeweka watu waishi na wafe ana maana yake.
Binadamu tunahitaji furaha ndio maana mzee Bashiru alipaswa kwenda kuwapa faraja the family of his predecessor
 
Is right or wrong? Well, that's depends on individual definition of right and wrong... and we people seem to be pretty different on that
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…