Kazuri Kadada
JF-Expert Member
- Jul 8, 2014
- 536
- 435
Huyu jamaa baba Levo anamiliki nyumba mbili tayari. Moja Mbagala nyingine Morogoro.Labda baba Levo alikuwa anajinyima ili ajenge ndio maana akawa anagongea Menu kwa shishi baby
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu jamaa baba Levo anamiliki nyumba mbili tayari. Moja Mbagala nyingine Morogoro.Labda baba Levo alikuwa anajinyima ili ajenge ndio maana akawa anagongea Menu kwa shishi baby
Baba Levo kabla ya kuwa na Shishi alikuwa anamgonga Wema Sepenga.Mbona baba Levo na Shilole hawajawahi kuwa wapenzi? Nyie majamaa wazushi sana.
Nyumba ninayoijua ya baba Levo ni moja tu ya pale MsataHuyu jamaa baba Levo anamiliki nyumba mbili tayari. Moja Mbagala nyingine Morogoro.
Wema amekonda kabaki mwembamba sana siku hiziBaba Levo kabla ya kuwa na Shishi alikuwa anamgonga Wema Sepenga.
Baba Levo anakaa kwa kudandia nyumba za watu huko Manzese kwa akina Madee na Dogo Janja.Nyumba ninayoijua ya baba Levo ni moja tu ya pale Msata
Pale Msata kuna kambi kubwa sana ya jeshi ujue?Nyumba ninayoijua ya baba Levo ni moja tu ya pale Msata
Baba Levo na Kala Pina mama yao mmojaBaba Levo anakaa kwa kudandia nyumba za watu huko Manzese kwa akina Madee na Dogo Janja.
Shishi anadanga tu kama wadangaji wengineAcha uongo wewe. Shilole ana hadhi gani ya kuhudumia mashirika ya ndege za kimataifa?
Kala Pina alikuwaga f.a.l.@ sana zamaniBaba Levo na Kala Pina mama yao mmoja
Dogo Janja ndio Janjaro?Baba Levo anakaa kwa kudandia nyumba za watu huko Manzese kwa akina Madee na Dogo Janja.
Umenikumbusha ubabe wa block 41 na Hassim DogoKala Pina alikuwaga f.a.l.@ sana zamani
Hao ni wasanii wawili tofauti mkuuDogo Janja ndio Janjaro?
Wema baba yake alikuwa balozi wa Tanzania lakini dada mayala sana huyu sijapata kuona.Wema amekonda kabaki mwembamba sana siku hizi
Nyumba ya Msata alimuuzia Ray C mwaka 2011 ila imechakaa sana sasa hiviNyumba ninayoijua ya baba Levo ni moja tu ya pale Msata
Hashim dogo swala tano sasa hivi hanaga swagger za ubabe wa kijinga.Umenikumbusha ubabe wa block 41 na Hassim Dogo
Ray C ilibaki kidogo tu dawa za kulevya zimuueNyumba ya Msata alimuuzia Ray C mwaka 2011 ila imechakaa sana sasa hivi
Acha uongo wewe. Dogojanja na Janjaro ni mtu mmoja huyoHao ni wasanii wawili tofauti mkuu
Ile nyumba ya Msata ni ya familia sio yakeNyumba ninayoijua ya baba Levo ni moja tu ya pale Msata
Msata wale ni Air ForcePale Msata kuna kambi kubwa sana ya jeshi ujue?
Kwani kitu kama cha familia sio chako? Wee dogo jau kumbeIle nyumba ya Msata ni ya familia sio yake