Pre GE2025 Baada ya kuchaguliwa kuwa Rais 2025-2030, Rais Samia aandae mchakato wa maridhiano awamu ya pili ambao utakuwa na mambo makubwa zaidi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Kwa kuwa sasa ni dhahiri maridhiano yanalipa, yameleta utangamano wa kitaifa.

Nashauri Rais Samia aandae maridhiano awamu ya pili ambayo itagusa mambo makubwa makubwa ya kisiasa, ikiwamo mabadiliko ya sheria mbalimbali. Mchakato huo uhusishe vyama vyote.

Tumpe ushirikiano ilo afanikishe hilo
 
Labda ashinde njaa ila sio urais wa JMT. hata yeye mwenyewe analijua hilo haliwezekani
 
1728923997692.jpg
 
Kwa kuwa sasa ni dhahiri maridhiano yanalipa, yameleta utangamano wa kitaifa.

Nashauri Rais Samia aandae maridhiano awamu ya pili ambayo itagusa mambo makubwa makubwa ya kisiasa, ikiwamo mabadiliko ya sheria mbalimbali. Mchakato huo uhusishe vyama vyote.

Tumpe ushirikiano ilo afanikishe hilo
Hapiti. Huko huko CCM watamwondoa na kuweka mwingine.
 
Hiyo Tume ya Uchaguzi haiko HURU, kama mnaamini anapendwa na labda huenda anapendwa, iachieni Tume ifanye kazi zake kwa Uhuru ili sisi Watanzania tuwachague viongozi tuwatakao MNAOGOPA NINI?!!!
 
Kwa kuwa sasa ni dhahiri maridhiano yanalipa, yameleta utangamano wa kitaifa.

Nashauri Rais Samia aandae maridhiano awamu ya pili ambayo itagusa mambo makubwa makubwa ya kisiasa, ikiwamo mabadiliko ya sheria mbalimbali. Mchakato huo uhusishe vyama vyote.

Tumpe ushirikiano ilo afanikishe hilo
Hachaguliwi katu. Mbingu zimekataa
 
Hiyo Tume ya Uchaguzi haiko HURU, kama mnaamini anapendwa na labda huenda anapendwa, iachieni Tume ifanye kazi zake kwa Uhuru ili sisi Watanzania tuwachague viongozi tuwatakao MNAOGOPA NINI?!!!
Maridhiano awamu ya pili itafanyia kazi, Samia alikuwa na muda mfupi sana
 
Back
Top Bottom