Hata magufuli alikuwa hivyoJidanganye
Hapiti. Huko huko CCM watamwondoa na kuweka mwingine.Kwa kuwa sasa ni dhahiri maridhiano yanalipa, yameleta utangamano wa kitaifa.
Nashauri Rais Samia aandae maridhiano awamu ya pili ambayo itagusa mambo makubwa makubwa ya kisiasa, ikiwamo mabadiliko ya sheria mbalimbali. Mchakato huo uhusishe vyama vyote.
Tumpe ushirikiano ilo afanikishe hilo
Hachaguliwi katu. Mbingu zimekataaKwa kuwa sasa ni dhahiri maridhiano yanalipa, yameleta utangamano wa kitaifa.
Nashauri Rais Samia aandae maridhiano awamu ya pili ambayo itagusa mambo makubwa makubwa ya kisiasa, ikiwamo mabadiliko ya sheria mbalimbali. Mchakato huo uhusishe vyama vyote.
Tumpe ushirikiano ilo afanikishe hilo
Maridhiano awamu ya pili itafanyia kazi, Samia alikuwa na muda mfupi sanaHiyo Tume ya Uchaguzi haiko HURU, kama mnaamini anapendwa na labda huenda anapendwa, iachieni Tume ifanye kazi zake kwa Uhuru ili sisi Watanzania tuwachague viongozi tuwatakao MNAOGOPA NINI?!!!
Waste of time.Maridhiano awamu ya pili itafanyia kazi, Samia alikuwa na muda mfupi sana