Baada ya kuchoka ma subwoofer ya seapiano nimejaribu kufunga mziki huu nyumbani

Choosen85

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2022
Posts
2,337
Reaction score
5,668
Huu hapa na nilimuuliza chatgp swali kulinganisha seapiano kubwa kbs kwasasa sp 912 na huu mziki ni nani zaidi

Nimenunua active subwoofer 250,000 boom box
Power supply 10 A bei 50,000
Radio ya gari 40,000
Twita 30,000
Amplifier ndogo kwaajili ya twita 15,000

Je wakuu niongeze nn au nipunguze nn......
 
Attachments

  • DSC_0017.JPG
    DSC_0017.JPG
    887.4 KB · Views: 47
  • DSC_0019.JPG
    DSC_0019.JPG
    197.2 KB · Views: 48
  • PSX_20250808_120752.png
    PSX_20250808_120752.png
    1.3 MB · Views: 52
Af kuna hii Idea nili ipata hivi hakuna Passive subwoofer iwe mfano wa hiyo uliyonayo ili iwe rahisi kui unga na amplifier kama hii hapa zimejaa AliExpress na bei iko chini, pia hizi 2.1 Channel amplifier zinakupa na urahisi wa kuweka tweeters zako bila shida pamoja na Bass.
Huu chini ni mfano tu zipo zenye wattage kubwa.
IMG_20250808_154543.jpg
 
Bob kuna watu wana magari yana speed ya 300 na zaidi km\h ila haimaanishi hua wana yaendesha kwa hiyo speed kweli, nafkiri utakua umenipata, faida ya kuwa na stand alone subwoofer ni kupata low bass pasina kuweka sauti kubwa.
Kweli hobby zinatofautiana.tv na simu nimemaliza.sijawahi kuota kununua hata radio
 
Hapo umenena mkubwa, mimi Mungu akini jaalia Pesa ya bila mawazo nitakuja kuleta hii system nyumbani,
Mzigo huo ni ni balaa na nusu. Ni 7.2.4 hapo umejenga kabisa mji wako, cheki hapo una subwoofer 2 tayari na Klipsch hawana kazi mbovu.

Kwakua So far hatujafika hapo na kipato ndo changamoto ndo maana tuna tumia shortcut kama hizo System za magari.
images.jpeg
 
View attachment 3435920
Hapo tunafungua disco toto siku ya idd
 
Hapo umenena mkubwa, mimi Mungu akini jaalia Pesa ya bila mawazo nitakuja kuleta hii system nyumbani,
Mzigo huo ni ni balaa na nusu. Ni 7.2.4 hapo umejenga kabisa mji wako, cheki hapo una subwoofer 2 tayari na Klipsch hawana kazi mbovu.

Kwakua So far hatujafika hapo na kipato ndo changamoto ndo maana tuna tumia shortcut kama hizo System za magari.
View attachment 3435920
Hii inatoka shingapi
 
Huu hapa na nilimuuliza chatgp swali kulinganisha seapiano kubwa kbs kwasasa sp 912 na huu mziki ni nani zaidi

Nimenunua active subwoofer 250,000 boom box
Power supply 10 A bei 50,000
Radio ya gari 40,000
Twita 30,000
Amplifier ndogo kwaajili ya twita 15,000

Je wakuu niongeze nn au nipunguze nn......
Bado gari lenyewe mziki tayari unao
 
Huu hapa na nilimuuliza chatgp swali kulinganisha seapiano kubwa kbs kwasasa sp 912 na huu mziki ni nani zaidi

Nimenunua active subwoofer 250,000 boom box
Power supply 10 A bei 50,000
Radio ya gari 40,000
Twita 30,000
Amplifier ndogo kwaajili ya twita 15,000

Je wakuu niongeze nn au nipunguze nn......

Kafanyiwe uchunguzi Muhimbili, lazima una shida very serious kwa kweli
 
Bob kuna watu wana magari yana speed ya 300 na zaidi km\h ila haimaanishi hua wana yaendesha kwa hiyo speed kweli, nafkiri utakua umenipata, faida ya kuwa na stand alone subwoofer ni kupata low bass pasina kuweka sauti kubwa.
Subufa siku zote ni kelele,ila hio yako ni mzik mnene tofaut ipo hapo
Dr,Dre anasema speaker zake unaskia kila kitu ambacho producer anataka ukisikie
 
Mkuu punguza maneno maneno mi naulizia ukubwa wa huo mzk niliofunga ndani mambo ya gari si sehemu ya thread hii nenda kenya uone jamaa wanavyofunga sound system za magari ndani mzk unafika mpka mil 2
Siendi Kenya hakuna Cha maana, nunua mziki wakuweka ndani sio WA gari unaweka ndani ushamba
 
Back
Top Bottom