Hiyo ni Around $1500 - $2000 kabla ya Usafiri.Hii inatoka shingapi
Mkuu hujanijibu experience yako kulinganisha na Seapiano.Huu hapa na nilimuuliza chatgp swali kulinganisha seapiano kubwa kbs kwasasa sp 912 na huu mziki ni nani zaidi
Nimenunua active subwoofer 250,000 boom box
Power supply 10 A bei 50,000
Radio ya gari 40,000
Twita 30,000
Amplifier ndogo kwaajili ya twita 15,000
Je wakuu niongeze nn au nipunguze nn......
Nakumbuka hata mama yako naye alianza kama mimi hivi hivi ila yeye zilikuwa nyege tu na uzee ule
HiiMkuu hujanijibu experience yako kulinganisha na Seapiano.
Katika maisha yangu sijawahi nunua kitu kinaitwa redio/subwooferKweli hobby zinatofautiana.tv na simu nimemaliza.sijawahi kuota kununua hata radio
Pamoja sana Mwamba.Hii
- Bass unajipimia ukiweka robo tu ya sauti ndani hapakaliki kbs na ni nzito tofauti na seapiano
- Bass hata uweke mpk mwisho haipotezi radha yake tofauti na seapiano kadri unavyoongeza sauti na ile radha ya bass inapotea
- Spika yake ni ngumu kuchanika au kupasuka tofauti na seapiano wkt wowote unachana spika
- Deep bass yake iko ok tofauti na seapiano
- Hii bass unajipimia tu maana ni kubwa kuliko twita sa kwa mimi mpenda mzki mzto sn hii imenikosha kuliko ma seapiano
SO HUYU NI MBABE WA MASEAPIANO