Fanya kitu roho inapenda.Sasa humo ndani si kutakuwa disco 😳😳😳.una nyumba?
zingatia swali la pili.hyo nyumba yako au umepanga?Fanya kitu roho inapenda.
Bob kuna watu wana magari yana speed ya 300 na zaidi km\h ila haimaanishi hua wana yaendesha kwa hiyo speed kweli, nafkiri utakua umenipata, faida ya kuwa na stand alone subwoofer ni kupata low bass pasina kuweka sauti kubwa.zingatia swali la pili.hyo nyumba yako au umepanga?
Kweli hobby zinatofautiana.tv na simu nimemaliza.sijawahi kuota kununua hata radioBob kuna watu wana magari yana speed ya 300 na zaidi km\h ila haimaanishi hua wana yaendesha kwa hiyo speed kweli, nafkiri utakua umenipata, faida ya kuwa na stand alone subwoofer ni kupata low bass pasina kuweka sauti kubwa.
Hapo umenena mkubwa, mimi Mungu akini jaalia Pesa ya bila mawazo nitakuja kuleta hii system nyumbani,Kweli hobby zinatofautiana.tv na simu nimemaliza.sijawahi kuota kununua hata radio
Hapo tunafungua disco toto siku ya iddHapo umenena mkubwa, mimi Mungu akini jaalia Pesa ya bila mawazo nitakuja kuleta hii system nyumbani,
Mzigo huo ni ni balaa na nusu. Ni 7.2.4 hapo umejenga kabisa mji wako, cheki hapo una subwoofer 2 tayari na Klipsch hawana kazi mbovu.
Kwakua So far hatujafika hapo na kipato ndo changamoto ndo maana tuna tumia shortcut kama hizo System za magari.
View attachment 3435920
Hii inatoka shingapiHapo umenena mkubwa, mimi Mungu akini jaalia Pesa ya bila mawazo nitakuja kuleta hii system nyumbani,
Mzigo huo ni ni balaa na nusu. Ni 7.2.4 hapo umejenga kabisa mji wako, cheki hapo una subwoofer 2 tayari na Klipsch hawana kazi mbovu.
Kwakua So far hatujafika hapo na kipato ndo changamoto ndo maana tuna tumia shortcut kama hizo System za magari.
View attachment 3435920
Bado gari lenyewe mziki tayari unaoHuu hapa na nilimuuliza chatgp swali kulinganisha seapiano kubwa kbs kwasasa sp 912 na huu mziki ni nani zaidi
Nimenunua active subwoofer 250,000 boom box
Power supply 10 A bei 50,000
Radio ya gari 40,000
Twita 30,000
Amplifier ndogo kwaajili ya twita 15,000
Je wakuu niongeze nn au nipunguze nn......
Mkuu punguza maneno maneno mi naulizia ukubwa wa huo mzk niliofunga ndani mambo ya gari si sehemu ya thread hii nenda kenya uone jamaa wanavyofunga sound system za magari ndani mzk unafika mpka mil 2Bado gari lenyewe mziki tayari unao
Huu hapa na nilimuuliza chatgp swali kulinganisha seapiano kubwa kbs kwasasa sp 912 na huu mziki ni nani zaidi
Nimenunua active subwoofer 250,000 boom box
Power supply 10 A bei 50,000
Radio ya gari 40,000
Twita 30,000
Amplifier ndogo kwaajili ya twita 15,000
Je wakuu niongeze nn au nipunguze nn......
Subufa siku zote ni kelele,ila hio yako ni mzik mnene tofaut ipo hapoBob kuna watu wana magari yana speed ya 300 na zaidi km\h ila haimaanishi hua wana yaendesha kwa hiyo speed kweli, nafkiri utakua umenipata, faida ya kuwa na stand alone subwoofer ni kupata low bass pasina kuweka sauti kubwa.
Siendi Kenya hakuna Cha maana, nunua mziki wakuweka ndani sio WA gari unaweka ndani ushambaMkuu punguza maneno maneno mi naulizia ukubwa wa huo mzk niliofunga ndani mambo ya gari si sehemu ya thread hii nenda kenya uone jamaa wanavyofunga sound system za magari ndani mzk unafika mpka mil 2