Baada ya kuchoka ma subwoofer ya seapiano nimejaribu kufunga mziki huu nyumbani

Kafanyiwe uchunguzi Muhimbili, lazima una shida very serious kwa kweli
Nakumbuka hata mama yako naye alianza kama mimi hivi hivi ila yeye zilikuwa nyege tu na uzee ule
 
Mkuu hujanijibu experience yako kulinganisha na Seapiano.
 
Mkuu hujanijibu experience yako kulinganisha na Seapiano.
Hii
  • Bass unajipimia ukiweka robo tu ya sauti ndani hapakaliki kbs na ni nzito tofauti na seapiano
  • Bass hata uweke mpk mwisho haipotezi radha yake tofauti na seapiano kadri unavyoongeza sauti na ile radha ya bass inapotea
  • Spika yake ni ngumu kuchanika au kupasuka tofauti na seapiano wkt wowote unachana spika
  • Deep bass yake iko ok tofauti na seapiano
  • Hii bass unajipimia tu maana ni kubwa kuliko twita sa kwa mimi mpenda mzki mzto sn hii imenikosha kuliko ma seapiano

SO HUYU NI MBABE WA MASEAPIANO
 

Attachments

  • DSC_0019.JPG
    197.2 KB · Views: 25
Pamoja sana Mwamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…