britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Gharama ya Uchaguzi ni Sh ngap?Sasa yale magari 120 yooote ya nini ? Tupunguze gharama zisizo lazima jamani.....hii aibu na kuchezea pesa walipa kodi
Kimantiki kwenda kuzindua bweni 1 au matundu choo 120. Kwa ufadhili watu marelani...msafara magari 145.....na Rais juu....kweli tunajielewa?Gharama ya Uchaguzi ni Sh ngap?
Kwani mkuu gharama ya chopa Moja kwa siku Bei yai yake unifahamu?
Rais uzindua Miradi mbalimbali na kusikikiza kero za watu wake Moja kwa MojaKimantiki kwenda kuzindua bweni 1 au matundu choo 120. Kwa ufadhili watu marelani...msafara magari 145.....na Rais juu....kweli tunajielewa?
Apunguzeer idadi maafisa na msafara magari 30 yanatosha lakini sio 145 inatia ukakasi nchi tegemezi juzi tu bajeti imegoma wamekwala BoT 1.4T ni aibu serikali imeishiwaaa.....tusifiche ni aibuuuuRais uzindua Miradi mbalimbali na kusikikiza kero za watu wake Moja kwa Moja
Akikaa ndani mseme Hana Muda na wananchi
Ziara za Ndani kwa Rais wa Nchi ni jambo la kawaida
Ni msafara gan wa Rais una magari 20?
Labda Rais wa kusadikika
Ulinzi wa Rais ukimbatana na viongozi wa serikali ni jambo la kawaida duniani kote