NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Sisi Ayubu FC tuna mechi ngumu lakini kwa kosi letu hili lazima Al ahly akae kwa mkapa hatoki mtu.
Hizi ndiyo mbinu tutakazo zitumia siku ya tar 20/10 mpaka mwarabu anakula goli Saba.
1) Mchezaji wetu kibonge tayari tumeshampunzisha na tumempa kazi maalumu ya kuwamaliza waarabu.
2)Kipa wetu Ayub anayedaka mpaka matreni ya SGR yupo fit hakika mwarabu lazima atoke kapa.
3)Ukuta wetu wa Yericko ni moja Kati ya Ukuta Bora kabisa na haujawahi kuruhusu magoli.
4)Tuna kiungo Punda na Ngoma tuliyemchukua kutoka uwanja wa ndege hakika katikati hakuna wa kupita.
5)tutachimba uwanja japokuwa tumepewa ukiwa mpya kabisa ili kuhakikisha tunafukia madude yetu.
KILA LA HERI KIBONGE FC.