Baada ya kufanikiwa kuchukua pointi 3 tulizopewa na mpuliza Filimbi Sasa tufanye maandalizi ya kwenda kuchimba uwanja ili wakija Al Ahly tuwafunge

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Sisi Ayubu FC tuna mechi ngumu lakini kwa kosi letu hili lazima Al ahly akae kwa mkapa hatoki mtu.

Hizi ndiyo mbinu tutakazo zitumia siku ya tar 20/10 mpaka mwarabu anakula goli Saba.

1) Mchezaji wetu kibonge tayari tumeshampunzisha na tumempa kazi maalumu ya kuwamaliza waarabu.

2)Kipa wetu Ayub anayedaka mpaka matreni ya SGR yupo fit hakika mwarabu lazima atoke kapa.

3)Ukuta wetu wa Yericko ni moja Kati ya Ukuta Bora kabisa na haujawahi kuruhusu magoli.

4)Tuna kiungo Punda na Ngoma tuliyemchukua kutoka uwanja wa ndege hakika katikati hakuna wa kupita.

5)tutachimba uwanja japokuwa tumepewa ukiwa mpya kabisa ili kuhakikisha tunafukia madude yetu.
KILA LA HERI KIBONGE FC.
 
706561.jpg
 
Uzi kama hizi anakuja mtu analalamika kwamba jukwaa lisafishwe..labda lisafishwe kwa vile linanuka kinye ..C..
 
Simba sc ni jitu kubwaaa East Africa. Na ndio timu inayoitangaza Tanzania na EAC kwa ujumla. wengine mbwembwe tu
Angalia usijeukapatwa na BP
 
Bado mnaliaga tu dah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom