Baada ya kufanikiwa kuharibu uchaguzi sasa wanataka kuifarakanisha CHADEMA

Baada ya kufanikiwa kuharibu uchaguzi sasa wanataka kuifarakanisha CHADEMA

Ccm wataleta machafuko tanzania nawaonea huruma watoto wangu bado wadogo tunaviomba vyimbo vya ulinzi na usalama kuanza mchakato wa kuiangusha ccm kwa amani.
 
20241201_064532.jpg
 
CHADEMA kwenye hili la uchaguzi naamini itavuka salama salimini
 
CHADEMA katika hili suala la uchaguzi mjilaumu wenyewe. Kuna mambo ya kipuuzi mmeyalea wenyewe halafu mnataka kuilaumu CCM.. Hamna akili kabisa. Kwa mfano Yericko Nyerere na makada wengine wanavyomtukana Lissu ni kuwa wametumwa na CCM? Kigaila alivyoropoka kuwa hakuna haja ya ukomo wa mtu kuongoza hiyo pia alitumwa na CCM? Pambaneni mrekebishe kasoro zenu bila kuihusisha CCM kwa sababu katiba yenu inayowaongoza mlitunga wenyewe. Sisi wanaCCM tunafurahi sana mnavyotukanana hadharani.
 
CHADEMA kwenye hili la uchaguzi naamini itavuka salama salimini
Kuvuka salama ni Lissu kujishusha na sio vinginevyo. Kwa zaidi ya 90% Mbowe hadi sasa akigombea anashinda ila hata akishinda chama chenu kinaweza kisiwe na nguvu endapo Lissu na kambi yake wataamua vingine. Msipofuata huu ushauri wangu hasara ni kwenu.
 
Back
Top Bottom