Checking hili chawaHapa zimejaa comment za chadema.
Kuvuka salama ni Lissu kujishusha na sio vinginevyo. Kwa zaidi ya 90% Mbowe hadi sasa akigombea anashinda ila hata akishinda chama chenu kinaweza kisiwe na nguvu endapo Lissu na kambi yake wataamua vingine. Msipofuata huu ushauri wangu hasara ni kwenu.CHADEMA kwenye hili la uchaguzi naamini itavuka salama salimini