Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Conservatives watakuwa wamefurahi sanaAlikuwa ana mkaanga Trump balaa
Aende zake tu huko hana msaada wowote kwa waafrika.Mchekeshaji Trevor Noah kutoka SA ameachana na kazi ya kuhost kipindi cha habari na vichekesho cha The Daily Show.
View attachment 2372261
Aende zake tu huko hana msaada wowote kwa waafrika.
Hakutafuta ajira kwa ajili ya Waafrika hata wewe sidhani kama mihangaiko yako unahangaikia Waafrika, kila mja hujihangaikia mwenyewe,familia yake, dependants na kusaidia wengine huwa ni ziada tu.Aende zake tu huko hana msaada wowote kwa waafrika.
Waafrica mnapenda misaada hahahahhahahaAende zake tu huko hana msaada wowote kwa waafrika.
Kama yeye anaweza kutoa vile Kila mtu hujitafutia mwenyew kwanza.Waafrica mnapenda misaada hahahahhahaha
Aende zake tu huko hana msaada wowote kwa waafrika.
Waafrica mnapenda misaada hahahahhahaha
Msaada upi? Juhudi za mtu na maisha yake wewe unawaza akusaidie!!Aende zake tu huko hana msaada wowote kwa waafrika.
Aende zake tu huko hana msaada wowote kwa waafrika.