johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Apumzike kwa amani
Mkuu,wakristo na mbwembwe zao za kuzika wanajikutaga wanamvalisha Hadi miwan marehemu cku ya mazikooo
Achana na majani hayo!Hapa naomba ndugu Zangu Malaria 2 FaizaFoxy na The Big Show mnipe Elimu kidogo kwanini Waislam hawavalishwi Nguo na Viatu wanapozikwa
Ni hilo tu maana mazishi ya General Ogolla yamenifunza kitu kikubwa sana
Mlale Unono
Hakikaa mkuuMkuu,
Kila jamii ifanye vile wanavyoona inafaa. Hizi ni imani tu, tamaduni tofauti tu. Hata hao wakristo wanashangaa kuona mwanandani, kuweka mbao nk ila sio issue coz ndivyo wenzetu mnavyoamini.
Kule kijitonyama wenzetu wanachoma hadi majivu, vipi na wao tusemeje. Ni imani tu, wala hazina impact kwa marehemu coz yeye hajui lolote mnalomfanyia.
Kilichofanyika yule General kaburi limechimbwa futi 4 akavalishwa nguo za kawaida akatolewa kwenye sanduku na kulazwa.Waislamu hawana nguo nyingine usipokuwa sanda pia mwili unawekwa kwenye mwandani (chumba naweza kuita hivyo) Wengine wanaweka pale juu mbao au nyasi kama mbao hamna ni tofauti kabisa na alivyozikwa General.Sema huyo jamaa anatumia free Wifi Hapo Lumumba Kila kinachomjia kichwani hachuji anapost tu.Ulichoongea Sasa Na Kuzikwa Kama Muislam
Umekula Nini Leo
Una wivu mpaka kwa maiti we Mbwa!wakristo na mbwembwe zao za kuzika wanajikutaga wanamvalisha Hadi miwan marehemu cku ya mazikooo
Una akili sanaMkuu,
Kila jamii ifanye vile wanavyoona inafaa. Hizi ni imani tu, tamaduni tofauti tu. Hata hao wakristo wanashangaa kuona mwanandani, kuweka mbao nk ila sio issue coz ndivyo wenzetu mnavyoamini.
Kule kijitonyama wenzetu wanachoma hadi majivu, vipi na wao tusemeje. Ni imani tu, wala hazina impact kwa marehemu coz yeye hajui lolote mnalomfanyia.
Ni kweli kila jamii inafanya kufuatana na mila zaoMkuu,
Kila jamii ifanye vile wanavyoona inafaa. Hizi ni imani tu, tamaduni tofauti tu. Hata hao wakristo wanashangaa kuona mwanandani, kuweka mbao nk ila sio issue coz ndivyo wenzetu mnavyoamini.
Kule kijitonyama wenzetu wanachoma hadi majivu, vipi na wao tusemeje. Ni imani tu, wala hazina impact kwa marehemu coz yeye hajui lolote mnalomfanyia.
Jiwe maiti yake ilivirigwa kwenye ngozi mbichi ya mbuzi.Hata huku wanafanya ila kwa Siri, naamini hata jiwe na laigwanani walizikwa kimila, Yale majeneza yalikua boshon tu