Baada ya kufanyiwa Misa Kanisani General Ogolla atolewa Kwenye Jeneza na kuzikwa akiwa na sanda tu

Hapa naomba ndugu Zangu Malaria 2 FaizaFoxy na The Big Show mnipe Elimu kidogo kwanini Waislam hawavalishwi Nguo na Viatu wanapozikwa

Ni hilo tu maana mazishi ya General Ogolla yamenifunza kitu kikubwa sana

Mlale Unono
Waislamu wakati mwingine sijui inakuwaje mnakuwa mnakosa kabisa ufahamu, hivi ulishawahi kujiuliza babu zako kabla ya ujio wa uislamu walizikwaje?

Na unafikiri walipungukiwa nini kwa kuzikwa vile?

Na unafahamu kwamba waislamu wanazikwa kwa tamaduni za kiarabu? Kwakuwa kule wenzetu kuna mchanga walizikana/wanazikana vile ili iweje? Au mmezuiwa hata kufikiri!!

Any way mtu yeyote akizikwa uchi(japo huyo hajazikwa uchi) anakuwa kazikwa kiislanu,
 
Kwani biblia inasemaje kuhusu mazishi?
Waislamu tunazika na Sanda na sio uchi kama mdau anavyodanganya hapo juu au ni mtoto asiejua kitu
Ni bora kuuliza

Pia amezikwa ndani ya masaa 72 kwa matakwa yake pia wana familia wamefanya hivyo
Mnaowazungusha mwezi mzima ni makosa na sio matakwa ya familia wala dini wala marehemu

Mungu awarehemu waliotangulia mbele ya haki
Yanakuwa makosa kwa mujibu wa nani mkuu? Ukihukumu ujue unahukumu watu wa itikadi tofauti na yako, which is wrong. Kule Ghana wanaweka maiti kwenye freezer hadi mwaka, yaani Martin inaweza kuwekwa miezi minne kusubiri siku familia ikipanga kuzika.

Tunachoshindwa kuelewa hapa ni kuwa huwezi kutoa hukumu kwa watu wenye itikadi, tamaduni na mila tofauti za yako. Unachotakiwa kufanya ni kuangalia na kuwaacha na mambo yao, hukumu sio yako.
 
Mkuu nakubaliana na wewe naongelea kwa mfano Rais wetu alizungushwa sana ila hilo lilikuwa ni takwa la serikali nadhani na sio mila wala dini

Nimeona mila nyingi duniani kwa macho na zingine kusoma au video clips
Wapo wanaokatakata maiti na kuwapa ndege Tai kama chakula kwa sababu ardhi yao ni mawe matupu

Wapo wanaofukua maiti za wapendwa wao kila mwaka na kuwaleta nyumbani wakiwavisha suti au nguo zao huku wakisherehekea siku nzima na baadae kuwarudisha makaburini tena

Wapowanaozika kwenye matundu milimani
Siwezi kuwakashifu wala kukataa mila zao ila kuna binadamu wanawafanyia wafu tofauti na utaratibu wa mila wala dini na hilo ndio napinga boss
 
Kilichofanyika yule General kaburi limechimbwa futi 4 akavalishwa nguo za kawaida akatolewa kwenye sanduku na kulazwa.Waislamu hawana nguo nyingine usipokuwa sanda pia mwili unawekwa kwenye mwandani (chumba naweza kuita hivyo) Wengine wanaweka pale juu mbao au nyasi kama mbao hamna ni tofauti kabisa na alivyozikwa General.Sema huyo jamaa anatumia free Wifi Hapo Lumumba Kila kinachomjia kichwani hachuji anapost tu.
Mwenyewe alitaka azikwe kwa haraka ndani ya masaa 72 na azikwe kwa sanda kama waislamu ni huyo hapo mwanahabari wa kenya karipoti the same
 
Attachments

  • Screenshot_20240421-220949_Chrome.jpg
    Screenshot_20240421-220949_Chrome.jpg
    473.5 KB · Views: 11
  • Screenshot_20240421-220957_Chrome.jpg
    Screenshot_20240421-220957_Chrome.jpg
    376.3 KB · Views: 8
Hapa naomba ndugu Zangu Malaria 2 FaizaFoxy na The Big Show mnipe Elimu kidogo kwanini Waislam hawavalishwi Nguo na Viatu wanapozikwa

Ni hilo tu maana mazishi ya General Ogolla yamenifunza kitu kikubwa sana

Mlale Unono
Mada za kipuuzi puuzi, kama kawaida yako.
Babu zako huko kijijini walizikwa na manguo gani miaka michache tu iliyopita!
 
Hapa naomba ndugu Zangu Malaria 2 FaizaFoxy na The Big Show mnipe Elimu kidogo kwanini Waislam hawavalishwi Nguo na Viatu wanapozikwa

Ni hilo tu maana mazishi ya General Ogolla yamenifunza kitu kikubwa sana

Mlale Unono
waislamu huwa wanavalishwa sanda, ambayo ni kitambaa cheupe kisicho na doa lo lote, na huwa maiti inazungushiwa mwili wote hauonekani ila uso. Inashonewa ile sanda kuzunguka mwili wa mtu vizuri. Sasa hicho kiatu unakwenda kukivaa wapi huko kaburini?
 
Waislamu wakati mwingine sijui inakuwaje mnakuwa mnakosa kabisa ufahamu, hivi ulishawahi kujiuliza babu zako kabla ya ujio wa uislamu walizikwaje?

Na unafikiri walipungukiwa nini kwa kuzikwa vile?

Na unafahamu kwamba waislamu wanazikwa kwa tamaduni za kiarabu? Kwakuwa kule wenzetu kuna mchanga walizikana/wanazikana vile ili iweje? Au mmezuiwa hata kufikiri!!

Any way mtu yeyote akizikwa uchi(japo huyo hajazikwa uchi) anakuwa kazikwa kiislanu,
usilolijua ni vyema unyamaze kuliko kujidai ubingwa wa kipuuzi, hivi nani amekwambia waislamu wanazikwa uchi? La pili hivi wewe mkristo huko kuzikwa na suti na sanduku ndiyo mila yako? Kwani na wewe si umeiga kwa wazungu? Huko kijijini unakotokea babu yako alikuwa na suti kama siyo ule mtumba wa kutoka ulaya?
 
Waislamu wakati mwingine sijui inakuwaje mnakuwa mnakosa kabisa ufahamu, hivi ulishawahi kujiuliza babu zako kabla ya ujio wa uislamu walizikwaje?

Na unafikiri walipungukiwa nini kwa kuzikwa vile?

Na unafahamu kwamba waislamu wanazikwa kwa tamaduni za kiarabu? Kwakuwa kule wenzetu kuna mchanga walizikana/wanazikana vile ili iweje? Au mmezuiwa hata kufikiri!!

Any way mtu yeyote akizikwa uchi(japo huyo hajazikwa uchi) anakuwa kazikwa kiislanu,

Kwani unafikiri uislamu ulianza lini ?? Uislamu haujaanza na waarabu ulianza tokea wakati wa Nabii Adam
 
Back
Top Bottom