Baada ya kufanyiwa Misa Kanisani General Ogolla atolewa Kwenye Jeneza na kuzikwa akiwa na sanda tu

,,,,Lengo la jamaa nakumbuka ni alisema hataki mazishi yake yawe ya Gharama sasa kama jeneza walinunua si washakinzna na matakwa ya Jamaa au walikodi ??
 
Mwenyewe alitaka azikwe kwa haraka ndani ya masaa 72 na azikwe kwa sanda kama waislamu ni huyo hapo mwanahabari wa kenya karipoti the same
Achana na wanahabari ambao hata mwanae wa kiume wakati wa kutoa salamu zake aliwachana kuachana na upotoshaji wa kifo Cha baba yake.Dada yake ndie alieleza mambo matatu ambayo kaka yake alimuelekeza:-
1.Akifa azikwe ndani ya saa 48 wakizidisha sana isizidi saa 72
2.Alimpeleka sehemu ambayo alitaka azikwe akamwambi nikifa nisizikwe kwenye jeneza nivalishwe nguo za kawaida nizikwe chini.
3.Baada ya Mazishi mke wake aende Holiday.
Wakati wanamstiri mwendazake huyo hata kamera hazikuruhusiwa kusogea.Waliokuwa kabuburini Kwa ajili ya kuupokea mwili ni maafisa wa Serikali na Jeshi pamoja na kijana wake.Walikuwa nane huku wanne na huku wanne.
 
Ni utamaduni wa waarabu tu,miti ni shida,hakuna mbao.hata kulala,kukaa ni chini kwenye mikeka,mazuria.kumiliki kitanda au kiti Cha mbao miaka hiyo,kabla UCHUMI kupanda kutokana na mafuta na gesi ni lazima uwe tajiri
 
Kodi za nini, Kuzika kwa njia ya Sanda ndo tamaduni ya dini kuu mbili duniani.
Tena maiti isifunikwe na kifusi mfano mzuri Bwana Yesu.

Haya maunyama mengine ni ubishoo tu wa kibinadamu, Sema hayana madhara kiimani.
 
Hapa hakuna cha kujifunza! Mtu akifa haijalishi anazikwaje,ili mradi mwili wake ustiriwe kwa heshima,anakuwa hana thamani tena,ni udongo tu!
Na kama mekufa katika dhambi huyo tayari roho yake imeenda motoni.
 
Hapa naomba ndugu Zangu Malaria 2 FaizaFoxy na The Big Show mnipe Elimu kidogo kwanini Waislam hawavalishwi Nguo na Viatu wanapozikwa

Ni hilo tu maana mazishi ya General Ogolla yamenifunza kitu kikubwa sana

Mlale Unono
Kwani huyo jamaa ni muislam?
 
Wapo waliojenga chamber kama kabati ndani au kati kati ya jengo na ni maluum kwa kuzika.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Hapa naomba ndugu Zangu Malaria 2 FaizaFoxy na The Big Show mnipe Elimu kidogo kwanini Waislam hawavalishwi Nguo na Viatu wanapozikwa

Ni hilo tu maana mazishi ya General Ogolla yamenifunza kitu kikubwa sana

Mlale Unono
Ukiishakufa umekufa tu. Haijalishi unazikwa kwa sanda au jeneza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…