Baada ya kufika Moscow leo nimeamua kufuatilia saga la Dr. Shika, kumbe anasema ukweli

Baada ya kufika Moscow leo nimeamua kufuatilia saga la Dr. Shika, kumbe anasema ukweli

[QUOTE="...
WITO KWA BALOZI ZETU TUNAOMBA MUWASAIDIE HAWA WATANZANIA WANAOKUWA NA MATATIZO MUWASAIDIE

Tukiachana na Shika wapo watanzania wengi wanaokosa msaada wa karibu sana kutoka Kwa balozi zetu hizi ,

Ukisoma ukatafakadhi haitadhuru
mods mkiuacha uzi huu itapendeza

Tufanye nimemaliza
Britanicca
[/QUOTE]
Kwa taarifa chache nilizonazo ni kuwa balozi zetu nyingi hazifanyi kazi zake inavyotakiwa hata raia wakipata shida ama kure-quest chochote huweza kuchukua miaka mingi bila kusikia majibu yoyote toka kwao. Ni kama zipo kwaajili ya mambo fulani fulani machache tu. Nadhani tunahitaji seriousness katika hili.
 
[QUOTE="...
WITO KWA BALOZI ZETU TUNAOMBA MUWASAIDIE HAWA WATANZANIA WANAOKUWA NA MATATIZO MUWASAIDIE

Tukiachana na Shika wapo watanzania wengi wanaokosa msaada wa karibu sana kutoka Kwa balozi zetu hizi ,

Ukisoma ukatafakadhi haitadhuru
mods mkiuacha uzi huu itapendeza

Tufanye nimemaliza
Britanicca
Kwa taarifa chache nilizonazo ni kuwa balozi zetu nyingi hazifanyi kazi zake inavyotakiwa hata raia wakipata shida ama kure-quest chochote huweza kuchukua miaka mingi bila kusikia majibu yoyote toka kwao. Ni kama zipo kwaajili ya mambo fulani fulani machache tu. Nadhani tunahitaji seriousness katika hili.[/QUOTE]
kweli kabisa kuna memba humu kashawahi kuzitolea uvivu hizi balozi zetu

cc gentamycine
 
Picha hii hapa....
 

Attachments

  • IMG-20171114-WA000.jpg
    IMG-20171114-WA000.jpg
    45 KB · Views: 208
Dr Shika nilivokuwa namfikiria kaniprove wrong kabisa baada ya kufatilia story yake hasa kwenye mitandao ambayo ni mahojiano ya ana kwa ana mzee ni mkweli na hana chembechembe za ubabaishaji ...very smart anajua anachokiongea na ndo kimenifanya niamini maneno yake ....

All in all i can sum up "ni maisha " tu kuchange ndo kumemfikisha hapo alipo

Respect to you Dr Shika
 
hUYU MZEE hizi story ana hallucinate atakuwa aliwapa hizo hadithi hao wenzake huko Russia,CIA FBI hawawezi kumtumia mtu kama yule wakawasiliana naye direct lazima awe na HANDLER wa ku exchange infos,sio wajinga eti waache traces za kijinga hivyo.
 
Back
Top Bottom