The Valiant
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 2,826
- 3,947
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni mchana unajua urusi uku miji inatofautiana masaa kwa mtu aliyeko novosibiriskiye na aliyeko sochi au volga wanatofautiana masaa mawili,Kwahiyo hapo kwa muda huu ni usiku au mchana?
Unatumia nguvu kubwa kupinga kwa fact nukta, mkuu hebu tuwekee maelezo yako hapa jamvini.nakataa kabisa,ukiangalia hiyo website hakuna picha za ofisi,adress ya kampouni hakuna, e mail wanatumia msn wakati proffesionally ilitakiwa labda drshika@lancefortltd.ru then angalia vizuri website yao..www.lancefort.narod.ru ni free hosting sio za kulipia thats why kuna narod katikati ni kama .blogspot.com au .yola.com,website kwa mjanja akiingalia kwa macho tu changa la macho
Uki search google hawana rekodi ya kueleweka no results kabisa,kampuni moja inafanya shughuli kama 40,kuanzia fertilisers,petroleum,pharmaceutical hakuna hata picha za ma executives,mnadanganyika sababu kuna website tena ya free hosting?
CIA,FBI watengeneze bogus company in a foreign soil ambayo ina deal hadi na gesi na petrol?they must be crazy,CIA,FBI wakitaka info nzuri za nchi kama Russia huwa wanatumia wan KGB wa kulekule ndani(MOLES)refer story ya OLEG KALUGIN
nakataaa nakataaaa nakataaaaa ,mtoa mada hata kama kaeleza alichoambiwa simply ni kwamba mzee LUNYALULA KIDOLA aliwanywesha chai ya moto wabongo wa huko ku expalin issue yake ya kukatwa vidole na kupoteza meno aka acome up with a fascinating story. NOOOOO
Aisee hadi raha, na mie natamani niwe hapo Urusi ninyweeeeeeeeeeeeeeee vikali mpaka basi.ni mchana unajua urusi uku miji inatofautiana masaa kwa mtu aliyeko novosibiriskiye na aliyeko sochi au volga wanatofautiana masaa mawili,
hapa moscow ni mchana kawaida saa tisa
siwezi sema ni mbinu za ccm, ila mm niachotaka kusema hapa..huyu shika, ni mtu makini sana na ambaye anatumiwa na watu wasiojulikana kwa mission isiyojulikana hadi sasa.Mkuu CCM wana njia nyingi sana, usiamini CCM hata siku moja.
Itakuwa vizuriUnatumia nguvu kubwa kupinga kwa fact nukta, mkuu hebu tuwekee maelezo yako hapa jamvini.
We unajua muhasibu mtata wa takukuru kajificha wp?Chai tuu hii kwa hiyo vingunguti ndio kajificha FBI wasimpate...
mi nishazoea miaka 5 sasa,
mambo ya kujiepusha ni kutojihusisha katika movement yeyote ile ya kisiasa,
pili usionekane una hela sana,
Tatu kaa mbali na mabinti wa kirusia maana wanaume wana wivu kila siku wanaua sana, kuna maeneo hupaswi kufika kama Saratov
ENZI ZA JAKAYA NINGEKUWA NISHATENGENEZA KIROBA NA KUKIITA DR SHIKA
Hapa nimekubali kuwa jamaa anataka kufungua Ofisi zao Tanzania na that is truth na hela wanayo na bado anaendelea na kazi ya Uspy na kwa kuwa hata aina ya maisha anayoishi ni aina ya watu walewale ... Kama aliweza kwenda Malaga 2012 basi bado ni agent wa hao jamaa na he is very bright ..
Hata Paspport yake imeandikwa Dr. kwa hiyo anayehoji credibility ya Udr. wake ni kilaza tu.
Mleta mada usiachangie chochote ulichokifanya umekifanya japo hii ya Nyumba itamfanya Jamaa ajulikane alipo na kuuliwa kwa kuwa wenzake waliuliwa na huyo anayetaka website iseme vyote basi ndiyo wale wale wanaomtaka Marehemu kanumba afungwe eti kwa kubaka wakati hata Mahakama imemuona kuwa Lulu alishakuwa mkubwa toka alivyokuwa na umri wa miaka 12.
nakataa kabisa,ukiangalia hiyo website hakuna picha za ofisi,adress ya kampouni hakuna, e mail wanatumia msn wakati proffesionally ilitakiwa labda drshika@lancefortltd.ru then angalia vizuri website yao..www.lancefort.narod.ru ni free hosting sio za kulipia thats why kuna narod katikati ni kama .blogspot.com au .yola.com,website kwa mjanja akiingalia kwa macho tu changa la macho
Uki search google hawana rekodi ya kueleweka no results kabisa,kampuni moja inafanya shughuli kama 40,kuanzia fertilisers,petroleum,pharmaceutical hakuna hata picha za ma executives,mnadanganyika sababu kuna website tena ya free hosting?
CIA,FBI watengeneze bogus company in a foreign soil ambayo ina deal hadi na gesi na petrol?they must be crazy,CIA,FBI wakitaka info nzuri za nchi kama Russia huwa wanatumia wan KGB wa kulekule ndani(MOLES)refer story ya OLEG KALUGIN
nakataaa nakataaaa nakataaaaa ,mtoa mada hata kama kaeleza alichoambiwa simply ni kwamba mzee LUNYALULA KIDOLA aliwanywesha chai ya moto wabongo wa huko ku explain issue yake ya kukatwa vidole na kupoteza meno aka acome up with a fascinating story. NOOOOO
seriously? nina namba yake if you real want to do soDr. anizidi kituchanga aisee! kichwa changu mara kinakubali story zake mara kinakataa.endeleeni kufukunyua mtuweke huru,alafu nahitaji no. yake nimtumia vijicent vya kujikimu anatia huruma.
Well notedsiwezi sema ni mbinu za ccm, ila mm niachotaka kusema hapa..huyu shika, ni mtu makini sana na ambaye anatumiwa na watu wasiojulikana kwa mission isiyojulikana hadi sasa.
Kwa website aliyoitaja jana , ukiingia huko huwezi amini ukubwa wa kampuni yake ambayo kwa maelezo yake anasema iko nchi nyingi. Pia, pale chini kwenye hyo website kuna address yao..sina hakika km huko Moscow nako wanatumia P.O.BOX... Anyway.. kwa ufupi kuna maswali mengi kuliko majibu.
Ila hyo mission ilikuwa pia planned na hao YONO.. kwani walianza kutoa warning kuwa atakaye vuruga huo munada atawajibishwa kisheria..walijuaje km siyo kuwa nao walikuwa part of the mission?? Anyway itafahamika tu..km babu wa loliyondo. Time will tell.
Haiwezi fahamika tena na Dr. amekwambia hao Polisi walienda kumpekua na walikuta na bank statement ya Kampuni yao sijui ya Dr which had alot of Money... na wakaondoka nayo na baada ya kukukotoa amesema the statement tu kwenye akaunti moja ilikuwa na hela equivalent na 20 Billion na akasema TRA wanted only 3Bill plus sasa kwa nini tunaendelea kujiuliza muonekano wake na ukweli wa kazi yake.siwezi sema ni mbinu za ccm, ila mm niachotaka kusema hapa..huyu shika, ni mtu makini sana na ambaye anatumiwa na watu wasiojulikana kwa mission isiyojulikana hadi sasa.
Kwa website aliyoitaja jana , ukiingia huko huwezi amini ukubwa wa kampuni yake ambayo kwa maelezo yake anasema iko nchi nyingi. Pia, pale chini kwenye hyo website kuna address yao..sina hakika km huko Moscow nako wanatumia P.O.BOX... Anyway.. kwa ufupi kuna maswali mengi kuliko majibu.
Ila hyo mission ilikuwa pia planned na hao YONO.. kwani walianza kutoa warning kuwa atakaye vuruga huo munada atawajibishwa kisheria..walijuaje km siyo kuwa nao walikuwa part of the mission?? Anyway itafahamika tu..km babu wa loliyondo. Time will tell.
Sawa CCMHofu yako ndo adui yako! Hata kivuli chako utasema sisiemu wamekiweka wanakufuatilia.