Mmmh kyoma bita si?Basiiiiii ,usiexpose jina lake plz
Wanakusanyaje mapato mkuu,??? Nakumbuka mdogo wangu alikwama wakamtoza R800.00 kumsaidia....walah dah[/QUOTE]Kama hii ya SA kazi yao ni kukusanya mapato......tuuu
safi waguma ,?Mmmh kyoma bita si?
Pia hana meno ya mbele.Hata
Hili la kuteswa naanza kuliamini! Inasemekana Dr.Shika anamakovu yakutosha mwilini.
Sasa kwa tulivyochambuaa ndo ukina wenyeweHii habari kesho itapamba Magazeti ya Udaku sipati picha!
Utasikia wakiandika....
"Kwa mujibu wa uchunguzi wa kina wa gazeti hili, Dr. Shaka......."
Kumbe wameikuta habari JF
Hawa ndio wabongo kutaka kujuana juana huko Europe, story imeletwa mtu anabisha tu kisa hajatajwa yeye.sasa nimeamini wewe ni Muongo! ni kweli sio wote ambao wako kwenye umoja ila tunajuana wengi hasa walioakaa muda mrefu hapa. Watanzania ambao hupenda kujificha ni wale ambao hawana documents na maisha yao ya kuzuga na ujanja ujanja na na hata hao tunawafahamu. Tunafanya vikao hata watu wa St Peters huja moscow na umoja hauna michango!! acha fix na story ya kutunga, huyo ana matatizo mpelekeni hospital
Muache Mungu aitwe Mungu!Aisee, maneno mengi yanaungana na ukweli, ila in reality unawezaje kuwatoroka KGB kindezi ndezi kama alivyosema yeye?
Pumbu atakuwa nazo mkuu,anadai alizibinya ili wale mbwa wakali wa nyumba ya pili toka ya watekaji wake wasimdhuru.mawazo yangu cku tangu siku ya kwanza nilijua huyu jamaa ni kitengo, ila nilikuwa nna wasi wasi na kitengo cha TZ maana kwa miaka hiyo hatukuw a na mpango Urusi, huyu ni informer wa CIA ndio maana hana meno wala vidole, nna shaka hana pumbu pia
Sasa mateso yote ya nini.Rudi nyumbanimimi niliyeleta uzi huu niko uku nimwaka wa tano nimepata mateso yafuatayo
1. kuna baadhi ya mitaa mpaka uombe marafiki wakusindikize, na wawe marafiki wa kizungu,
2.Kuwa na girllfriend wa kizungu au russia unakuwa umetangaza vita,
3. Mwaka juzi nilienda kanisa moja kusali yaan kanisani wakanibagua, ni kwamba pale kanisani wasioelewa kirusia wanapewa headphones za kutranslate, sasa mimi somo la kwanza nilijifunza kilugha chao bila wao kujua ili wasinisengenye, sasa nilifika kanisani pale, wakamgombeza yule demu alonipeleka eti NANI KAKWAMBIA HII NI MASS YA WAAFRIKA? AU NYANI WNATAMKA NENO обезьяна WAKIMAANISHA NYANI ukisikia BOREKGHRA jua ushaitwa nyani, NILIELEWA LAKIN YULE DADA AKAWA NA AIBU AKANIFUATA NA KUNISIHI KWAMBA HEAD SET ZA KUTAFSIRI HAZIPO WATATUPANGIA MASS YA WASIOJUA KIRUSSIA, ikabidi niondoke kwa kujifanya sijaelewa
4.kusimamisha bus hizi pertanduu hawasimami kama ni mwafrica mpaka kituoni labda awepo mzungu msimamishe kwa pamoja, naye huyo wa kituoni anasimama mbali na wewe,
5. Viwanja vya ndege hasa rostov on don na moscow mara nyingi waafrica husimamishwa kukaguliwa ndani ya msafara wanakagua wana sample waafrica tu,
6. ku book flight baadhi ya office unaambiwa imejaa wakati ukiwepo hapo hapo wengine wana book,
Mzee.Dr.Shika[emoji122] [emoji122] [emoji122]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwa hiyo hapo uko Urusi unavyotuma huu uzi?
Inawezekana kabisa kwa asilimia nyingi.Mara paap, Dr. Shika CIA.
Lakini CIAsimtu wa kufanya mambokwa kificho? Kwa nini huyu aji expose kwenye media?Inawezekana kabisa kwa asilimia nyingi.
Assume wewe ni tajiri wa kigeni umewekeza hapa nchini,siku unarudi kwako ukatekwa na vipanya road flani vikihitaji $ 1.5M lakini baadae ukafanikiwa kutoroka.Baada ya hapo ukaamua kurudi kwenu lets say Peru lakini ukiwa ushafika huko bado ukahisi wale panyaroad wanakufuatilia unaamua kukimbilia Romania kwa muda inawezekana kweli?
Mzee hakutekwa na vibaka wa kawaida bali majasusi wa Kirusi na ndio maana akakimbia nchi na bado alipofika Tanzania akarelocate to Spain mpaka alipoona ishu imepoa(probably jamaa walijua ashajifia kumbe katulia tuli).
Kuna mengi ya kujiuliza lakini sio wa kupuuzwa,dunia ya sasa kosa moja tu watu wanaingia deep na kupata kila kitu.Lakini CIAsimtu wa kufanya mambokwa kificho? Kwa nini huyu aji expose kwenye media?
HahahahaHii habari kesho itapamba Magazeti ya Udaku sipati picha!
Utasikia wakiandika....
"Kwa mujibu wa uchunguzi wa kina wa gazeti hili, Dr. Shaka......."
Kumbe wameikuta habari JF