Baada ya kufika Moscow leo nimeamua kufuatilia saga la Dr. Shika, kumbe anasema ukweli

Baada ya kufika Moscow leo nimeamua kufuatilia saga la Dr. Shika, kumbe anasema ukweli

Toka siku ya kwanza nilivyoangalia clip za kwenye mnada niliwaza kwamba huyu mzee kuna something special, nilivyoangalia namna majirani zake wanavyozungumzia life style yake nikapigia mstari nilichokifikiria juu ya huyu mzee.all in all i believe that,up to now, he knows what to do kuescape danger zone inayomnyemelea kwa kasi kubwa.naamini anaelewa na kashachukua tahadhari.dr.shika KEEP IT UP
 
Kama hii ya SA kazi yao ni kukusanya mapato......tuuu
Wanakusanyaje mapato mkuu,??? Nakumbuka mdogo wangu alikwama wakamtoza R800.00 kumsaidia....walah dah[/QUOTE]
Hao jamaa nomaa....ukienda ku- certify documents pale maumivu mkuuu....kila copy R200..... like Tsh 40,000 elfu.....
 
Hata


Hili la kuteswa naanza kuliamini! Inasemekana Dr.Shika anamakovu yakutosha mwilini.
Pia hana meno ya mbele.
Halafu sijui mawazo yamemfanya aonekane ndivyo sivyo.
This time tungefanya Hata harambee huku akisubiri mpunga wake.
Mana Hata ndugu walimtenga japo nao wamekiri jamaa yupo njema.Na Hata gazeti la mwananchi walipotembelea Nyumbani kwao.Dr.Shika.Sio watu wa kawaida.
Wana mahekalu
 
Hii habari kesho itapamba Magazeti ya Udaku sipati picha!

Utasikia wakiandika....
"Kwa mujibu wa uchunguzi wa kina wa gazeti hili, Dr. Shaka......."

Kumbe wameikuta habari JF
Sasa kwa tulivyochambuaa ndo ukina wenyewe
Ila wawe wanawalipa kidogo Jf
 
sasa nimeamini wewe ni Muongo! ni kweli sio wote ambao wako kwenye umoja ila tunajuana wengi hasa walioakaa muda mrefu hapa. Watanzania ambao hupenda kujificha ni wale ambao hawana documents na maisha yao ya kuzuga na ujanja ujanja na na hata hao tunawafahamu. Tunafanya vikao hata watu wa St Peters huja moscow na umoja hauna michango!! acha fix na story ya kutunga, huyo ana matatizo mpelekeni hospital
Hawa ndio wabongo kutaka kujuana juana huko Europe, story imeletwa mtu anabisha tu kisa hajatajwa yeye.
Lazima mtu awepo umoja diaspora?
ni washamba washamba tu wanafagilia.
We muhenga unajua wa Tz wote hapo Russia?
Amazing
 
mawazo yangu cku tangu siku ya kwanza nilijua huyu jamaa ni kitengo, ila nilikuwa nna wasi wasi na kitengo cha TZ maana kwa miaka hiyo hatukuw a na mpango Urusi, huyu ni informer wa CIA ndio maana hana meno wala vidole, nna shaka hana pumbu pia
Pumbu atakuwa nazo mkuu,anadai alizibinya ili wale mbwa wakali wa nyumba ya pili toka ya watekaji wake wasimdhuru.
 
mimi niliyeleta uzi huu niko uku nimwaka wa tano nimepata mateso yafuatayo

1. kuna baadhi ya mitaa mpaka uombe marafiki wakusindikize, na wawe marafiki wa kizungu,
2.Kuwa na girllfriend wa kizungu au russia unakuwa umetangaza vita,
3. Mwaka juzi nilienda kanisa moja kusali yaan kanisani wakanibagua, ni kwamba pale kanisani wasioelewa kirusia wanapewa headphones za kutranslate, sasa mimi somo la kwanza nilijifunza kilugha chao bila wao kujua ili wasinisengenye, sasa nilifika kanisani pale, wakamgombeza yule demu alonipeleka eti NANI KAKWAMBIA HII NI MASS YA WAAFRIKA? AU NYANI WNATAMKA NENO обезьяна WAKIMAANISHA NYANI ukisikia BOREKGHRA jua ushaitwa nyani, NILIELEWA LAKIN YULE DADA AKAWA NA AIBU AKANIFUATA NA KUNISIHI KWAMBA HEAD SET ZA KUTAFSIRI HAZIPO WATATUPANGIA MASS YA WASIOJUA KIRUSSIA, ikabidi niondoke kwa kujifanya sijaelewa

4.kusimamisha bus hizi pertanduu hawasimami kama ni mwafrica mpaka kituoni labda awepo mzungu msimamishe kwa pamoja, naye huyo wa kituoni anasimama mbali na wewe,
5. Viwanja vya ndege hasa rostov on don na moscow mara nyingi waafrica husimamishwa kukaguliwa ndani ya msafara wanakagua wana sample waafrica tu,
6. ku book flight baadhi ya office unaambiwa imejaa wakati ukiwepo hapo hapo wengine wana book,

Sasa mateso yote ya nini.Rudi nyumbani
 
source: Administration

Company: Lancefort Ltd.

Type of Business: Manufacture, Export, Import.

Banker: Bank for foreign trade Vneshtorgbank

Working hours: 12-16 GMT

17-20 GMT.

Phones: words 7-095-139-91-86

Fax 7-095-246-20-20

Web Site: http://lancefort.narod.ru

E- mail: Lancefort@msn.com

Snail mail: 125284 Moscow, P. O. Box 9, Moscow � Russia.

President: Louis S Kid

General Director: Dr. Lunyalula KRS

Executive Director: Butina Nataly Alexandrovna

Director for International Affairs and First PS to the President: Gracheva Olga Mihailovna

Production and Sales Director: Krasnoborova Julia Sergeevna

Chief Accountant: Shaova Iren Yurievna

Board of Directorate: The board of directorate consists of all the above under the chairmanship of Gorbachev MS

NB: All correspondence should be addressed to: The Director for International Affairs.

Back to the general list

Сайт управляется системой uCoz
 
Mara paap, Dr. Shika CIA.
Inawezekana kabisa kwa asilimia nyingi.

Assume wewe ni tajiri wa kigeni umewekeza hapa nchini,siku unarudi kwako ukatekwa na vipanya road flani vikihitaji $ 1.5M lakini baadae ukafanikiwa kutoroka.Baada ya hapo ukaamua kurudi kwenu lets say Peru lakini ukiwa ushafika huko bado ukahisi wale panyaroad wanakufuatilia unaamua kukimbilia Romania kwa muda inawezekana kweli?

Mzee hakutekwa na vibaka wa kawaida bali majasusi wa Kirusi na ndio maana akakimbia nchi na bado alipofika Tanzania akarelocate to Spain mpaka alipoona ishu imepoa(probably jamaa walijua ashajifia kumbe katulia tuli).
 
dr ambae hana meno yani doctor billionea asie jua maana ya meno yake hili linanitia mashaka african drama
 
Inawezekana kabisa kwa asilimia nyingi.

Assume wewe ni tajiri wa kigeni umewekeza hapa nchini,siku unarudi kwako ukatekwa na vipanya road flani vikihitaji $ 1.5M lakini baadae ukafanikiwa kutoroka.Baada ya hapo ukaamua kurudi kwenu lets say Peru lakini ukiwa ushafika huko bado ukahisi wale panyaroad wanakufuatilia unaamua kukimbilia Romania kwa muda inawezekana kweli?

Mzee hakutekwa na vibaka wa kawaida bali majasusi wa Kirusi na ndio maana akakimbia nchi na bado alipofika Tanzania akarelocate to Spain mpaka alipoona ishu imepoa(probably jamaa walijua ashajifia kumbe katulia tuli).
Lakini CIAsimtu wa kufanya mambokwa kificho? Kwa nini huyu aji expose kwenye media?
 
Lakini CIAsimtu wa kufanya mambokwa kificho? Kwa nini huyu aji expose kwenye media?
Kuna mengi ya kujiuliza lakini sio wa kupuuzwa,dunia ya sasa kosa moja tu watu wanaingia deep na kupata kila kitu.
Watu wamekuwa wadadisi sana sababu ya kukua kwa teknolojia.
 
Hii habari kesho itapamba Magazeti ya Udaku sipati picha!

Utasikia wakiandika....
"Kwa mujibu wa uchunguzi wa kina wa gazeti hili, Dr. Shaka......."

Kumbe wameikuta habari JF
Hahahaha
 
Back
Top Bottom