mimi niliyeleta uzi huu niko uku nimwaka wa tano nimepata mateso yafuatayo
1. kuna baadhi ya mitaa mpaka uombe marafiki wakusindikize, na wawe marafiki wa kizungu,
2.Kuwa na girllfriend wa kizungu au russia unakuwa umetangaza vita,
3. Mwaka juzi nilienda kanisa moja kusali yaan kanisani wakanibagua, ni kwamba pale kanisani wasioelewa kirusia wanapewa headphones za kutranslate, sasa mimi somo la kwanza nilijifunza kilugha chao bila wao kujua ili wasinisengenye, sasa nilifika kanisani pale, wakamgombeza yule demu alonipeleka eti NANI KAKWAMBIA HII NI MASS YA WAAFRIKA? AU NYANI WNATAMKA NENO обезьяна WAKIMAANISHA NYANI ukisikia BOREKGHRA jua ushaitwa nyani, NILIELEWA LAKIN YULE DADA AKAWA NA AIBU AKANIFUATA NA KUNISIHI KWAMBA HEAD SET ZA KUTAFSIRI HAZIPO WATATUPANGIA MASS YA WASIOJUA KIRUSSIA, ikabidi niondoke kwa kujifanya sijaelewa
4.kusimamisha bus hizi pertanduu hawasimami kama ni mwafrica mpaka kituoni labda awepo mzungu msimamishe kwa pamoja, naye huyo wa kituoni anasimama mbali na wewe,
5. Viwanja vya ndege hasa rostov on don na moscow mara nyingi waafrica husimamishwa kukaguliwa ndani ya msafara wanakagua wana sample waafrica tu,
6. ku book flight baadhi ya office unaambiwa imejaa wakati ukiwepo hapo hapo wengine wana book,