Baada ya kufika Moscow leo nimeamua kufuatilia saga la Dr. Shika, kumbe anasema ukweli

bro.unapost tweets ya mtu aliyejitungia akaunt juzi kujiita dr shika,.yet umeleta habari juu hapo ambayo imewafanya watu wafikirie
mbona naanza kuona kama unaleta mixmixtape
Kweli mkuu habari yake hata mimi nimeanza kuitilia shaka baada ta kuleta hiyo account ambayo imefunguliwa juzi na ina picha moja manipulated kwa photoshop.
Sasa kwa style hii si jamaa anatupiga kamba na kutaka tuamini alichoandika hata kwa kutuletea references za uongo
 
Cc Britannica

Kuwa makini hapa
 
We unaamini angekuwa agent kama mnavyotaka kutuaminisha, angekuwa mjinga kiasi hicho kujiexpose ajulikane alipo wakati madai ni kwamba anatafutwa aliwatoroka KGB?
Yule jamaa na ulinzi wote aliyowekewa na waingereza bado walimuua kwa kumwekea sumu ya mionzi kwenye vitu alivyokuwa anatumia ije kuwa huyu Dr ambaye yupo yupo tu?
Hii ni chai na kama kweli angekuwa spy asingekuwa reckless kujiexpose wakati anatafutwa.
Watu mnapenda hizi story tu
 
bro.unapost tweets ya mtu aliyejitungia akaunt juzi kujiita dr shika,.yet umeleta habari juu hapo ambayo imewafanya watu wafikirie
mbona naanza kuona kama unaleta mixmixtape
hahaha huyu nnimemshangaa nikauliza ni nani hasa/?
 
wabongo tunapenda vitu vyepesi vyepesi ..na udaku udaku
No wonder Babu wa Loliondo aliwadaka watanzania wote kiakili
 
huyo ni muhuni tu wa mtandaoni aliyeamua kuunda akaunti feki.
nashangaa sana wewe kuichukulia serious na kuileta humu
no siyo seriouse mi nimeitupia tu hapo kuchangamsha ndo maana sijaiweka juu
 
Hujui kuhusu website ungeuliza kwnz.... Ukiwa na website sharti uwe unai-update mara kwa mara ndio itaendelea kuwa hai otherwise ita-decline sasa dr ana muda gani toka shughuli zake za kampuni zisimame? Toka sijui mwaka 2000 mpk leo unadhani website itakuonesha kitu gani?
 
We jamaa unaongea kitu ambacho we ndiyo hujui.
Eti usipoi update ita decline, hata usipo update ukawa umelipia server na hosting itakaa tu.
Na mimi naongelea account ya twitter au umedandia bila kujua screenshot ya alichopost kuwa ni twitter.
Mnapenda story za kuunga sana
 
We
Wewe mtu wa ajabu sana jaribu kuongea na mtanzania yeyote aliyesomea urusi miaka ya themanini akupe data vizuri,ukweli ni kwamba enzi za nyerere watanzania na urusi mahusiano yalikuwa kwenye next level na KGB au CIA wanatumia mpaka mapadri,mashehe,drug dealers sembuse mwanafunzi wa chuo.
 
Swali ni hili, ni agent mjinga kiasi gani afanye tukio litakalo muexpose na KGB wajue aliko?
Yani agent aliwatoroka KGB hata jina hakubadiri yuko anaishi dar na awe reckless kwenda kufanya tukio la kujiexpose?
Kisha atoe historia ya kutekwa kwake?
Does that make sense to you kuwa Dr ni bonge la agent kama unavyoaminishwa?
KGB wamemuua agent wao aliyetorokea London na akawa analindwa washindwe kumuua shika kama kweli alikuwa agent na katoroka na kajiexpose??
 
We haya wee.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…