britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
- Thread starter
- #521
mimi najiuliza who is britanicca ?
pitia nyuzi hizi umjue britanicca JF siyo kumjua privately
Kumbe ni chato local airport,si international kama wanasiasa wanavyotuaminisha
Acha niitwe mchochezi: Uchumi wa Tanzania ulijengwa na Mkapa, Kikwete akatuuza hivi na Magufuli naye Mhh
Video fupi ikionesha kiwanda kinavyotengeneza hela Uswiss
Wanyarwanda wenye influence na siasa za Tanzania hapa panawahusu
Imekuwa sawa na Makongoro Nyerere alivyotumwa mzazi shuleni akiwa mtoto wa rais
Nawashangaa Magufuli na Mwakyembe. Anzeni na kesi hizi kwenye mahakama ya mafisadi
Kuna uhusiano wowote kati ya uongozi wa juu wa Tanzania na Vatican-Rumi?
Sifa kuu unazotakiwa kuwa nazo ili uteuliwe na Rais Magufuli kushika wadhifa wowote
Wakenya kuishtaki Korea Kaskazini kwa kusababisha tetemeko Tanzania
Angalia kuporomoka kwa shillingi tokea tumepata Uhuru
Pendekezo: Mahakama ya mafisadi ianze na kashfa hizi
Kwanini Chato International Airport na si Omukajunguti international Airport? Kagera inaonewa sana