Baada ya kufika Moscow leo nimeamua kufuatilia saga la Dr. Shika, kumbe anasema ukweli

Baada ya kufika Moscow leo nimeamua kufuatilia saga la Dr. Shika, kumbe anasema ukweli

Brittanica huyo kijana atakuwa anasomea mambo ya hali ya hewa nadhan namfahamu huyo kijana anafanya kaz airport moja wapo kanda ya ziwa
Hafu mtu kwa maslahi ya kuwa na ukibaraka wake wa taasisi fulani anakurupuka tu eti hayupo?? Kwa taarifa yake mwambie huyo jamaa namjua mpaka kwao hapa tz na huko nimeonana mara nyingi sana japo mimi alikuwa hajui kama ni kama yeye na hata mimi nilimjua nikamkaushia tuu
 
dr shika sio mtu wa mchezomchezo kwa kesi ya kutaka kutapeli nani alishaambiwa ajidhamini
Mniambie tuu kwa kesi yoyote ni watanzania wangapi walifanikiwa kujidhamini?? Embu fuatilia abavyoongea na wandishi wa habari na anavyowamudu. Pili fuatilia uzooefu wake wa kamela machoni utagundua huyu jamaa ni level nyingine.


Usijashangaa serikali ikapiga marufuku midahalo yoote inayomuhusu huyu Dr.
 
Umeuliza hili swali kwa mshangao mkubwa uliochanganyika na unyonge[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hahahah, nimetamani na mie niwe huko nipumzike hii minyoo na taifodi za hapa nyumbani Tanzania
 
unajua uongeaji wa kisomi wa dr shika umewachanganya,hawa wangekutana na yule lecturer aliyedata pale CBE wangekimbia,labda hawajawaji kukutana na vichaa wanaoongea hadi lugha zote za dunia..Mzee kachanganyikiwa sasa imekuja issue ya u SPY ndo imewachanganya wartu kabisa
Mtu unaambiwa alitopea kwenye ulevi akashindwa kumaliza hata masomo huko Russia bado hawaelewi,walahi soma kitabu cha Kalugin utajua hata torture cells za KGB walivyokuwa wana operate ,eti dr shika aliwatoroka KGB
Stupidddddddddddddddddddddddddddddddddd
Watu wepesi sana kudanganyika...ndyo maana hata babu wa loliondo aliwapiga.....
 
Ni kweli na amefanya kosa kuji expose...Warusi watamuwinda upya...

Katika hali ya kawaida ni ngumu kwa mtu wa kawaida kuweza kuvumilia mateso aliyopewa na bado akamudu kuwatoroka watejaji tena anaosema ni KGB...

Huyu mzee ni zaidi ya anavyojinasibu...

I am sorry ila kunauwezekano mkubwa sana Dr. akawa ni special agent ambaye ni well trained ila kwa sababu tusizozijua bado akili yake imetwist kidogo...
You never know huenda on the other side the gvt has all story about the man which may probably not concur with his and that's why they ignore him
 
Duuuh..., haya ndio aliyaeleza Dk. Shika, japo alisema kwamba waliomteka na kumkata vidole walikuwa wanataka dollar milioni 1.5 na sio kwamba walimtuhumu kwa uspy. Usalama wa taifa Tanzania wanakula pesa za bure tu, hii kazi uliyoifanya ilibidi wao ndio waifanye
Kwani huo u spy wake alikuwa anafanya kwa interest ya Tanzania tuliza ubongo usome tena basi
 
Back
Top Bottom