Kwa taarifa yako yule wa London alikuwa alindwi na yule na dk Shika ni mission mbili tofauti Dr Shika siyo tishio tena.Swali ni hili, ni agent mjinga kiasi gani afanye tukio litakalo muexpose na KGB wajue aliko?
Yani agent aliwatoroka KGB hata jina hakubadiri yuko anaishi dar na awe reckless kwenda kufanya tukio la kujiexpose?
Kisha atoe historia ya kutekwa kwake?
Does that make sense to you kuwa Dr ni bonge la agent kama unavyoaminishwa?
KGB wamemuua agent wao aliyetorokea London na akawa analindwa washindwe kumuua shika kama kweli alikuwa agent na katoroka na kajiexpose??
Kasome tena ujue kuwa alikuwa anaulinzi ila alijiamini zaidi.Kwa taarifa yako yule wa London alikuwa alindwi na yule na dk Shika ni mission mbili tofauti Dr Shika siyo tishio tena.
Kasome tena ujue kuwa alikuwa anaulinzi ila alijiamini zaidi.
Watu mnapenda conspiracy theories kweli yani.
Eti mission mbili tofauti kwasasa siyo tishio.
Basi sawa
Najua spy ni spy ukitoroka they will hunt you ukipatikana watakuua.Acha hasira Dk Shikaa ni mwafrika na mtanzania na agent aliyewekewa sumu ni mzawa wa Russia unachshindwa kuelewa ni nini.
UNAULIZA HILO MKUU YULE MBONA KITAMBO TOKA YUKO KIJANI SPY WAKUTOSHA NAONA KARUDI ILI AMSAIDIE DAB KUWADAKA VIZURI MANAKE DAB ANA MAARIFA MADOGO KWENYE UDAKAJI....ila sasa kwa Tanzania amebaki mheshimiwa aliyehamia juzi juzi chama fulani naye ni spy
Mkuu rudia kusikiliza KBG ameitaja kwamba watu.wanafundishwa kuteswaKasema KGB wapi? Amesema walikua mafia wa kirusi waliotaka awape 1.5 usd.angewapa angeuliwa, asipowapa angeuliwa clear sikiliza video.
Hakuna mjinga hapa ni ww unachoamini kila kitu kiko Google.
CIA na KGB zimeingia kwa hisia tu kwamba inawezekana huyu mtu alikua anaibia Siri na kutuma CIA akatengeneza pesa wakamshtukia kumbuka amefanya kazi viwanda vya chemical na silaha.
Kwa miaka aliyoishi kule anaweza kurudi hata kesho ni kwenda ubalozi wa Russia tu wanamtengenezea safari na ana family ila ndo hivyo mpk kutoroka kuja bongo ni kuokoa roho yake.
Anyway bado tunahisi ukweli anaujua yeye
Unaamini huyo Britanicca sio usalama wa Taifa wa TZ?Duuuh..., haya ndio aliyaeleza Dk. Shika, japo alisema kwamba waliomteka na kumkata vidole walikuwa wanataka dollar milioni 1.5 na sio kwamba walimtuhumu kwa uspy. Usalama wa taifa Tanzania wanakula pesa za bure tu, hii kazi uliyoifanya ilibidi wao ndio waifanye
We unaamini angekuwa agent kama mnavyotaka kutuaminisha, angekuwa mjinga kiasi hicho kujiexpose ajulikane alipo wakati madai ni kwamba anatafutwa aliwatoroka KGB?
Yule jamaa na ulinzi wote aliyowekewa na waingereza bado walimuua kwa kumwekea sumu ya mionzi kwenye vitu alivyokuwa anatumia ije kuwa huyu Dr ambaye yupo yupo tu?
Hii ni chai na kama kweli angekuwa spy asingekuwa reckless kujiexpose wakati anatafutwa.
Watu mnapenda hizi story tu
Daaah wabongo yani mtu akiandika vitu vya kispy spy hata kama chai mmaanza hisi spy piaUnaamini huyo Britanicca sio usalama wa Taifa wa TZ?
Sasa kama dumped mbona nasaka ela kutoka kwenye hiyo kampuni huko urusi?umeshaambiwa ni dumped spy wa CIA ambaye ameshajielewa ametelekezwa na hana cha kupoteza, uwezo wa kukaa mafichoni kwa gharama zake hana waliokuwa wakimhifadhi hawamuhitaji tena kifupi kwa sasa ni mzigo... sasa anafanyaje zaidi ya kutoka mafichoni ili jamii imsaidie.. hata hao KGB kwa hali aliyokuwa nayo hawatamuhitaji tena watatafuta namna nyingine ya kufanya maana kirusi hakipo kwao tena kimeshatoka zaidi zaidi labda watammonitor remotely..
Unaamini maneno yake Dr Shika?Sasa kama dumped mbona nasaka ela kutoka kwenye hiyo kampuni huko urusi?
Yani uwe spy president wa kampuni kubwa kwa maelezo yenu ambayo inakuja kugundulika inafanya kazi za uspy wanakukamata wanakutesa unatoroka.
Baada ya miaka unaibuka kudai ela toka kampuni ambayo ilikuwa urusi ikifanya uspy na serikali ikajua?
Does that make sense to you?
Kuishi Urussi sina shaka kaishi Urusi, kuoa mke wa Kirusi pia inawezekana alioa mke wa Kirusi.Unaamini maneno yake Dr Shika?
Alisema kengele kijana, sio pumbuPumbu atakuwa nazo mkuu,anadai alizibinya ili wale mbwa wakali wa nyumba ya pili toka ya watekaji wake wasimdhuru.
Sijaanza kuamini Dr Shika alikuwa CIA agent, lakini nawewe usikalili kwamba KGB hawawezi kutorokwa, wao ni wakina nani? wala sio mungu... ukisoma nyaraka nyingi tu unaambiwa ni mafia wengi walio watoroka Agent wengi wa usalama duniani tena vitengo vikubwa vinavyoaminika kama CIA, KGB, M16 na takataka nyingine, mfano mkubwa ni Edward Snowden ingawa hakutiwa nguvuni lakini alithubutu kuionesha CIA si miungu..unajua uongeaji wa kisomi wa dr shika umewachanganya,hawa wangekutana na yule lecturer aliyedata pale CBE wangekimbia,labda hawajawaji kukutana na vichaa wanaoongea hadi lugha zote za dunia..Mzee kachanganyikiwa sasa imekuja issue ya u SPY ndo imewachanganya wartu kabisa
Mtu unaambiwa alitopea kwenye ulevi akashindwa kumaliza hata masomo huko Russia bado hawaelewi,walahi soma kitabu cha Kalugin utajua hata torture cells za KGB walivyokuwa wana operate ,eti dr shika aliwatoroka KGB
Stupidddddddddddddddddddddddddddddddddd
Sasa kama dumped mbona nasaka ela kutoka kwenye hiyo kampuni huko urusi?
Yani uwe spy president wa kampuni kubwa kwa maelezo yenu ambayo inakuja kugundulika inafanya kazi za uspy wanakukamata wanakutesa unatoroka.
Baada ya miaka unaibuka kudai ela toka kampuni ambayo ilikuwa urusi ikifanya uspy na serikali ikajua?
Does that make sense to you?
Kwa hiyo akili ya kudanganya kuwa Urusi,China,Hong Kong,USA sio kigezo cha kudanganya watu Mimi nashinda huko situmii kujua hizo Nchi nidanfanye watu ..ukitaka chai zipo nyingi sana wasafiri wanajua kuzitengenezaAkili nyepesi hazifai kwenye huu uzi
Lengo ni kujustify ulichokisema...Dumped agent yeyote huishia hivyo unavyomuona Dr Shika, ukumbuke tayari dish limeshachezeshwa na KGB na inaonekana CIA wanalijua hilo ndio maana wanamdanganya hela zako zinakuja usihofu na mwisho wake ndio hivyo mpaka mauti yamkute tena afadhali yake wamemdump akiwa hai wengine wanauwawa tu nakutupwa..