njeeseka
JF-Expert Member
- Oct 19, 2012
- 1,373
- 983
Mpaka sasa akili yangu imegoma kuamini stori aliyoitoa Dr akihusisha kukatwa kwa vidole vyake na kuteswa kwa umeme kisha kutorokea sehemu mbalimbali. Ukiunganisha na stori aliyoitoa kaka yake bado simuamini kama hadithi yake ya kutaka kuibiwa pesa ina mashiko (hii kaitengeneza kwa vile yupo smart).
Mpaka sasa ninamuona ni mtu hatari kuliko tunavyomfikiria.
Mpaka sasa ninamuona ni mtu hatari kuliko tunavyomfikiria.