Kurbashnov Max Ni Kijana mwenye Umri wa miaka 34, ambaye ni mdogo wa Bwana Falz kurbashnov ambao wote walikuwa wameshaanza kujitambua mwaka 2001 na kujua kilichoendelea baina ya baba yao na
Dr Luis Shika mwanafunzi aliyetokea Africa Akitaka kuwekeza wakati akisoma, nimekutana naye baada ya kuuliza ni kina nani walikuwa na hisa katika kampuni ya Lanceford na kupelekwa moja kwa moja kwa kijana ambaye baba yake alikuwa na hisa,
ambaye kanipa mkasa mzima ulivyoenda mpaka familia yake kuhusika kwenye Biashara hiyo na kuingia matatizoni, aeleza uhusiano wa Shika na kikosi cha marekani.
Anaanza
"Mara ya mwanzo walikutana na Baba yetu bwana Kurbashnov katika mgahawa unaoitwa
Istoriya unaopatikana,Verkhnyaya Krasnoselskaya ulitsa, Krasnoselsky, 107140 Moscow,
''Baba yetu alipenda sana uwekezaji hasa kujificha nyuma ya wawekezaji kutoka nje ya Urrusi ni jambo ambalo lilimfanya kila anapokutana na mtu anayeonekana kutoka nje ya Rusia lazima amuulize juu ya Fursa za kufanya au kuwekeza kwa kutumia jina la mgeni, maana kwa kipindi kile kulikuwa ni vigumu kuanzisha biashara kwenye sera za kikomunist na ukiangalia ndipo tulikuwa tuna mda mchache tumejitenga katika USSR hivo nchi nyingi zilizojitoa mfano uzerbakistan tunapotokea sisi walikuwa na ushirikiano na Slovenia, na macedonia, ziliona kama zimekosa soko la uwekezaji na wakitaka kurudi hapa walichajiwa hela nyingi kwa kuwakomoa, ndiyo maana warusi wengi waliona ni bora kuwekeza kwa kutumia majina ya wageni ila kwa makubaliano maalumu,''
alielezea bwana
kurbashnov Max
Anaendelea:
"Baba yeye ni mbobezi wa masuala ya finance aliyosoma chuo kikuu cha moscow university touro kwahiyo alihisi ni vema kupata mwekezaji ambaye ni mtaalamu wa upande wa finance pia, ila kwa bahati Mbaya Dr shika alionekana kutaka kuwekeza zaidi kwenye chemical na mbolea suala ambalo baba hakulipenda maana watu wa kilimo walipata moja kwa moja msaada toka serikalin hivyo ilikuwa ni ngumu kupata wateja." anaeleza
Anaendelea:
"Baada ya Dr shika kuonekana ana hela kulingana na maelezo ya mzee Shika alikuwa na
Russian ruble 2,900,000 ambayo ni sawa na dollars 50,000 za marekani kwa kipindi hicho ambayo ingetosha mtaji mzee wangu akaona ni fursa wangeweza kuchanganya na kupata mtaji mkubwa na hiyo ndo ilikuwa njia iliyomshawish baba yangu kuwekeza kwa kampuni ya mbolea ila aliweka asilimia 25 tu kama jaribio na Dr Shika akaweka 75,"
Baada ya miez kadhaa wakafungua kampuni kwa jina Lancerford ambayo ilikuwa maarufu kwa sababu iliendeshwa na mtu mweusi maana ilikuwa vigumu kupata mweusi anamiliki kampuni wengi wao walikuwa mawazo yao ni kuajiriwa kwenye migahawa kama waiters na kusafisha kama celaners au hotel attendant hata kama ana masters, maana kutokana na ubaguzi wa rangi ilikuwa vigumu kupata kazi za juu"
Kaka yangu Falz kurbashnov akaanza kupata msuko suko kutoka kwa watu wa usalama wakihisi kwamba anatumika na watu wa nje na anapanga mashambulizi ya kigaidi Kutokana na habari hizo kusambaa baba familia nzima ilianza kuyumbbishwa hata miradi yetu ikafungwa na baba mdogo akafungwa jela miaka 10 , baba yangu akakimbia nchi , akabaki Mr shika tu kwenye kampuni ile,
Mama yangu alijuana na afisa mmoja na akataka kufuatilia stahiki za mme wake yaan mzee wetu, lakin afisa mmoja ambaye alimwambia kwamba kuna vijana wameajiriwa katika kampuni ya Lanceford kama maspy wa KGB kujua ni nani hasa mmiliki na amepata wapi hela,mmoja ni muhasibu na mwingine ni wa security,
Baada ya kaka yangu
Falz kurbashnov kuajiriwa pale kama mweka hazina msaidizi alisingiziwa kesi akafungwa miaka 20 jela kwa kosa la ugaidi, na kusaidia maspy wa nje,
alifuatwa kazini tulipouliza majirani walisema wameskia akisema kama amekabwa na watu akitamka
“I’m not a terrorist. I’ve never been one,” mbaya zaidi marekani iliweka shinikizo kumfunga jela za kwao kwamba kuna mambo wanayataka toka kwake, ilileta mzozo kidogo lakin baadae wakawekeana masharti na Rusia, urusi nayo ilisema wanamtaka, lakini marekani wakampeleka kwa kubadirishana wafungwa,
Siku wametekeleza ilo tukio ndipo tukaogopa kusogelea maeneo yale kabisa na baadae kuona ofisi imefungwa Tiyari na hatukumuona Tena Dk shika na tulidhani amekufa maana tumepoteza mawasiliano yake,"
Maeneo ambayo Dr shika alipenda kuyatembelea sana ni pamoja na pirogoviskiy ,Pushkino na nikorina gola uko ndipo walipokuwa wamarekani weusi ambao walikuwa marafiki zake na wengi walikuwa command force ya USA kikosi 32 ambacho ni kikosi cha ushirikiano na russia kwa wakati uo,
Hayo ndo maelezo ya
kurbashnov Max ambaye anaonekana kwenye picha chini
Nimefanikiwa kufika maeneo yote ya matukio kwanza nimefika eneo ambalo kulikuwa na office ile bameshabomolewa na kujengwa nyumba nyinginezo
Pili, Eneo ambalo limesemekana alitekwa nimefika
lhukovisty nje ya mji wa moscow na kupaona ila liyetuonesha hakusema ndipo alipata mateso dr shika ila ametueleza tukio lililotokea maeneo hayo na muafrica aliyelipotiwa kuwa billionea aliyetekwa na kuwekwa hapo tukaoanisha picha na kuconect dot
Picha yake ni hii:
Nyumba inasemekana ni ile ile ila imefanyiwa marekebisho mara kadhaa
Imeadaliwa na Britanicca
Acknowledgement muhimu unapokopi plz
Itaendelea baadae na nitasimulia nani alimtorosha na alitumia mbinu zipi, nani anashikiria hela yake na kwanini anaambiwa ailipie bima.
Ninakutana na muhusika kesho Jumatatu asubuhi njema