Baada ya kufika Moscow leo nimeamua kufuatilia saga la Dr. Shika, kumbe anasema ukweli

Baada ya kufika Moscow leo nimeamua kufuatilia saga la Dr. Shika, kumbe anasema ukweli

Hapa nimekubali kuwa jamaa anataka kufungua Ofisi zao Tanzania na that is truth na hela wanayo na bado anaendelea na kazi ya Uspy na kwa kuwa hata aina ya maisha anayoishi ni aina ya watu walewale ... Kama aliweza kwenda Malaga 2012 basi bado ni agent wa hao jamaa na he is very bright ..
Hata Paspport yake imeandikwa Dr. kwa hiyo anayehoji credibility ya Udr. wake ni kilaza tu.

Mleta mada usiachangie chochote ulichokifanya umekifanya japo hii ya Nyumba itamfanya Jamaa ajulikane alipo na kuuliwa kwa kuwa wenzake waliuliwa na huyo anayetaka website iseme vyote basi ndiyo wale wale wanaomtaka Marehemu kanumba afungwe eti kwa kubaka wakati hata Mahakama imemuona kuwa Lulu alishakuwa mkubwa toka alivyokuwa na umri wa miaka 12.
Umemaliza kila kitu bro...Huyu dokta anaonekana ni agent tena ni wale trained haswaaa
 
Tena ashukuru kwa kuwa hai hadi leo. KGB walikuwa wanaua kabisa hao CIA spies. Yaani, ashukuru sana.
 
Htafutwi na FBI bali inasemekana alikuwa anatumika nao alipokuwa urusi kitendo kilichopelekea shirika la kijajusi la nchi hiyo KGB kuwateka na kwenda kuwapa mateso makali kupelekea mpaka wenzake kufariki
Htafutwi na FBI bali inasemekana alikuwa anatumika nao alipokuwa urusi kitendo kilichopelekea shirika la kijajusi la nchi hiyo KGB kuwateka na kwenda kuwapa mateso makali kupelekea mpaka wenzake kufariki
Mkuu naendelea kusema si kweli huyo alikua anafanya shughuli ambayo ni tofauti na serikali ya huko sio KGB wala FBI nchi nyingi nilizoishi wabongo waliteswa na kuuawa kwa kufanya shughuri haramu...baba kufanya kazi za hao hawakuachi salama urusi ni kama North Korea msichukulie kirahisi rahisi kila jambo mnaloambiwa matajiri wanaotakatisha fedha tuu wamekimbia ndio jasusi awe salama...
 
Mkuu naendelea kusema si kweli huyo alikua anafanya shughuli ambayo ni tofauti na serikali ya huko sio KGB wala FBI nchi nyingi nilizoishi wabongo waliteswa na kuuawa kwa kufanya shughuri haramu...baba kufanya kazi za hao hawakuachi salama urusi ni kama North Korea msichukulie kirahisi rahisi kila jambo mnaloambiwa matajiri wanaotakatisha fedha tuu wamekimbia ndio jasusi awe salama...
Ndo maana bado nasema kwamba ukweli wote anao dokta shika mwenyew
 
Kwani Dr. Shika mwenyewe ni ndezi? Hatuyajui mengi kumhusu huyu jamaa. Anaweza kuwa mtu hatari sana kwenye fani ya ujasusi. Unaweza kuta jamaa hata kutumia silaha na martial arts yupo vizuri pia. Never underestimate mysterious person like him. Baada ya stori ya britanicca unaweza kuelewa kwanini alikuwa anakaa ndani siku kadhaa kama alivyoelezea mpangaji mwenzie kule ayotv.
Aisee, maneno mengi yanaungana na ukweli, ila in reality unawezaje kuwatoroka KGB kindezi ndezi kama alivyosema yeye?
 
Kwani Dr. Shika mwenyewe ni ndezi? Hatuyajui mengi kumhusu huyu jamaa. Anaweza kuwa mtu hatari sana kwenye fani ya ujasusi. Unaweza kuta jamaa hata kutumia silaha na martial arts yupo vizuri pia. Never underestimate mysterious person like him. Baada ya stori ya britanicca unaweza kuelewa kwanini alikuwa anakaa ndani siku kadhaa kama alivyoelezea mpangaji mwenzie kule ayotv.
Ni kweli, wakati naangalia ile clip ya yule binti anavyoelezea nilikua na mtu pembeni tunaangalia wrote, maelezo ya kwamba chakula chake muda mwingi ni maji nikasema huyu Dr siyo mtu wa kawaida.
 
nakataa kabisa,ukiangalia hiyo website hakuna picha za ofisi,adress ya kampouni hakuna, e mail wanatumia msn wakati proffesionally ilitakiwa labda drshika@lancefortltd.ru then angalia vizuri website yao..www.lancefort.narod.ru ni free hosting sio za kulipia thats why kuna narod katikati ni kama .blogspot.com au .yola.com,website kwa mjanja akiingalia kwa macho tu changa la macho
Uki search google hawana rekodi ya kueleweka no results kabisa,kampuni moja inafanya shughuli kama 40,kuanzia fertilisers,petroleum,pharmaceutical hakuna hata picha za ma executives,mnadanganyika sababu kuna website tena ya free hosting?
CIA,FBI watengeneze bogus company in a foreign soil ambayo ina deal hadi na gesi na petrol?they must be crazy,CIA,FBI wakitaka info nzuri za nchi kama Russia huwa wanatumia wan KGB wa kulekule ndani(MOLES)refer story ya OLEG KALUGIN
nakataaa nakataaaa nakataaaaa ,mtoa mada hata kama kaeleza alichoambiwa simply ni kwamba mzee LUNYALULA KIDOLA aliwanywesha chai ya moto wabongo wa huko ku explain issue yake ya kukatwa vidole na kupoteza meno aka acome up with a fascinating story. NOOOOO
Lancefort Ltd - Пошук Google

labda itakusaidia angalia results za hapo ili uelweve vizuri.
 
e8863de72e98293e1195faaffb61a286.jpg
 
Kurbashnov Max Ni Kijana mwenye Umri wa miaka 34, ambaye ni mdogo wa Bwana Falz kurbashnov ambao wote walikuwa wameshaanza kujitambua mwaka 2001 na kujua kilichoendelea baina ya baba yao na Dr Luis Shika mwanafunzi aliyetokea Africa Akitaka kuwekeza wakati akisoma, nimekutana naye baada ya kuuliza ni kina nani walikuwa na hisa katika kampuni ya Lanceford na kupelekwa moja kwa moja kwa kijana ambaye baba yake alikuwa na hisa,
ambaye kanipa mkasa mzima ulivyoenda mpaka familia yake kuhusika kwenye Biashara hiyo na kuingia matatizoni, aeleza uhusiano wa Shika na kikosi cha marekani.

Anaanza
"Mara ya mwanzo walikutana na Baba yetu bwana Kurbashnov katika mgahawa unaoitwa Istoriya unaopatikana,Verkhnyaya Krasnoselskaya ulitsa, Krasnoselsky, 107140 Moscow,

''Baba yetu alipenda sana uwekezaji hasa kujificha nyuma ya wawekezaji kutoka nje ya Urrusi ni jambo ambalo lilimfanya kila anapokutana na mtu anayeonekana kutoka nje ya Rusia lazima amuulize juu ya Fursa za kufanya au kuwekeza kwa kutumia jina la mgeni, maana kwa kipindi kile kulikuwa ni vigumu kuanzisha biashara kwenye sera za kikomunist na ukiangalia ndipo tulikuwa tuna mda mchache tumejitenga katika USSR hivo nchi nyingi zilizojitoa mfano uzerbakistan tunapotokea sisi walikuwa na ushirikiano na Slovenia, na macedonia, ziliona kama zimekosa soko la uwekezaji na wakitaka kurudi hapa walichajiwa hela nyingi kwa kuwakomoa, ndiyo maana warusi wengi waliona ni bora kuwekeza kwa kutumia majina ya wageni ila kwa makubaliano maalumu,''
alielezea bwana kurbashnov Max

Anaendelea:
"Baba yeye ni mbobezi wa masuala ya finance aliyosoma chuo kikuu cha moscow university touro kwahiyo alihisi ni vema kupata mwekezaji ambaye ni mtaalamu wa upande wa finance pia, ila kwa bahati Mbaya Dr shika alionekana kutaka kuwekeza zaidi kwenye chemical na mbolea suala ambalo baba hakulipenda maana watu wa kilimo walipata moja kwa moja msaada toka serikalin hivyo ilikuwa ni ngumu kupata wateja." anaeleza

Anaendelea:
"Baada ya Dr shika kuonekana ana hela kulingana na maelezo ya mzee Shika alikuwa na Russian ruble 2,900,000 ambayo ni sawa na dollars 50,000 za marekani kwa kipindi hicho ambayo ingetosha mtaji mzee wangu akaona ni fursa wangeweza kuchanganya na kupata mtaji mkubwa na hiyo ndo ilikuwa njia iliyomshawish baba yangu kuwekeza kwa kampuni ya mbolea ila aliweka asilimia 25 tu kama jaribio na Dr Shika akaweka 75,"

Baada ya miez kadhaa wakafungua kampuni kwa jina Lancerford ambayo ilikuwa maarufu kwa sababu iliendeshwa na mtu mweusi maana ilikuwa vigumu kupata mweusi anamiliki kampuni wengi wao walikuwa mawazo yao ni kuajiriwa kwenye migahawa kama waiters na kusafisha kama celaners au hotel attendant hata kama ana masters, maana kutokana na ubaguzi wa rangi ilikuwa vigumu kupata kazi za juu"

Kaka yangu Falz kurbashnov akaanza kupata msuko suko kutoka kwa watu wa usalama wakihisi kwamba anatumika na watu wa nje na anapanga mashambulizi ya kigaidi Kutokana na habari hizo kusambaa baba familia nzima ilianza kuyumbbishwa hata miradi yetu ikafungwa na baba mdogo akafungwa jela miaka 10 , baba yangu akakimbia nchi , akabaki Mr shika tu kwenye kampuni ile,

Mama yangu alijuana na afisa mmoja na akataka kufuatilia stahiki za mme wake yaan mzee wetu, lakin afisa mmoja ambaye alimwambia kwamba kuna vijana wameajiriwa katika kampuni ya Lanceford kama maspy wa KGB kujua ni nani hasa mmiliki na amepata wapi hela,mmoja ni muhasibu na mwingine ni wa security,

Baada ya kaka yangu Falz kurbashnov kuajiriwa pale kama mweka hazina msaidizi alisingiziwa kesi akafungwa miaka 20 jela kwa kosa la ugaidi, na kusaidia maspy wa nje,
alifuatwa kazini tulipouliza majirani walisema wameskia akisema kama amekabwa na watu akitamka
“I’m not a terrorist. I’ve never been one,” mbaya zaidi marekani iliweka shinikizo kumfunga jela za kwao kwamba kuna mambo wanayataka toka kwake, ilileta mzozo kidogo lakin baadae wakawekeana masharti na Rusia, urusi nayo ilisema wanamtaka, lakini marekani wakampeleka kwa kubadirishana wafungwa,

Siku wametekeleza ilo tukio ndipo tukaogopa kusogelea maeneo yale kabisa na baadae kuona ofisi imefungwa Tiyari na hatukumuona Tena Dk shika na tulidhani amekufa maana tumepoteza mawasiliano yake,"

Maeneo ambayo Dr shika alipenda kuyatembelea sana ni pamoja na pirogoviskiy ,Pushkino na nikorina gola uko ndipo walipokuwa wamarekani weusi ambao walikuwa marafiki zake na wengi walikuwa command force ya USA kikosi 32 ambacho ni kikosi cha ushirikiano na russia kwa wakati uo,

Hayo ndo maelezo ya kurbashnov Max ambaye anaonekana kwenye picha chini

183959_190614917637048_3326971_n.jpg


Nimefanikiwa kufika maeneo yote ya matukio kwanza nimefika eneo ambalo kulikuwa na office ile bameshabomolewa na kujengwa nyumba nyinginezo

Pili, Eneo ambalo limesemekana alitekwa nimefika lhukovisty nje ya mji wa moscow na kupaona ila liyetuonesha hakusema ndipo alipata mateso dr shika ila ametueleza tukio lililotokea maeneo hayo na muafrica aliyelipotiwa kuwa billionea aliyetekwa na kuwekwa hapo tukaoanisha picha na kuconect dot

Picha yake ni hii:

99820967.jpg


Nyumba inasemekana ni ile ile ila imefanyiwa marekebisho mara kadhaa

Imeadaliwa na Britanicca

Acknowledgement muhimu unapokopi plz

Itaendelea baadae na nitasimulia nani alimtorosha na alitumia mbinu zipi, nani anashikiria hela yake na kwanini anaambiwa ailipie bima.

Ninakutana na muhusika kesho Jumatatu asubuhi njema
 
Back
Top Bottom