unruly gang
Member
- Nov 17, 2017
- 45
- 32
Hawezi kutujuza zaidi ya hapo...Wanakulaga kiapo cha kuficha siriHuyu mzee nimwshaanza kumuamini sio wa kuzarauliwa hata kidogo ana mengi sana ya kutujuza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawezi kutujuza zaidi ya hapo...Wanakulaga kiapo cha kuficha siriHuyu mzee nimwshaanza kumuamini sio wa kuzarauliwa hata kidogo ana mengi sana ya kutujuza
Umemaliza kila kitu bro...Huyu dokta anaonekana ni agent tena ni wale trained haswaaaHapa nimekubali kuwa jamaa anataka kufungua Ofisi zao Tanzania na that is truth na hela wanayo na bado anaendelea na kazi ya Uspy na kwa kuwa hata aina ya maisha anayoishi ni aina ya watu walewale ... Kama aliweza kwenda Malaga 2012 basi bado ni agent wa hao jamaa na he is very bright ..
Hata Paspport yake imeandikwa Dr. kwa hiyo anayehoji credibility ya Udr. wake ni kilaza tu.
Mleta mada usiachangie chochote ulichokifanya umekifanya japo hii ya Nyumba itamfanya Jamaa ajulikane alipo na kuuliwa kwa kuwa wenzake waliuliwa na huyo anayetaka website iseme vyote basi ndiyo wale wale wanaomtaka Marehemu kanumba afungwe eti kwa kubaka wakati hata Mahakama imemuona kuwa Lulu alishakuwa mkubwa toka alivyokuwa na umri wa miaka 12.
Yaani bora ungezaliwa mende kuliko kuzaliwa ukiwa na akili kama hiziSwali: Kwanini Dr Lous Shika amechanganyikiwa au ni mbinu za CCM ilitusahau tukio la Lissu?
Umemaliza kila kitu bro...Huyu dokta anaonekana ni agent tena ni wale trained haswaaa
Htafutwi na FBI bali inasemekana alikuwa anatumika nao alipokuwa urusi kitendo kilichopelekea shirika la kijajusi la nchi hiyo KGB kuwateka na kwenda kuwapa mateso makali kupelekea mpaka wenzake kufariki
Mkuu naendelea kusema si kweli huyo alikua anafanya shughuli ambayo ni tofauti na serikali ya huko sio KGB wala FBI nchi nyingi nilizoishi wabongo waliteswa na kuuawa kwa kufanya shughuri haramu...baba kufanya kazi za hao hawakuachi salama urusi ni kama North Korea msichukulie kirahisi rahisi kila jambo mnaloambiwa matajiri wanaotakatisha fedha tuu wamekimbia ndio jasusi awe salama...Htafutwi na FBI bali inasemekana alikuwa anatumika nao alipokuwa urusi kitendo kilichopelekea shirika la kijajusi la nchi hiyo KGB kuwateka na kwenda kuwapa mateso makali kupelekea mpaka wenzake kufariki
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]Mkuu njoo huku Biharamlo ni mwendo wa lites na lager kila weekend
Ndo maana bado nasema kwamba ukweli wote anao dokta shika mwenyewMkuu naendelea kusema si kweli huyo alikua anafanya shughuli ambayo ni tofauti na serikali ya huko sio KGB wala FBI nchi nyingi nilizoishi wabongo waliteswa na kuuawa kwa kufanya shughuri haramu...baba kufanya kazi za hao hawakuachi salama urusi ni kama North Korea msichukulie kirahisi rahisi kila jambo mnaloambiwa matajiri wanaotakatisha fedha tuu wamekimbia ndio jasusi awe salama...
SUBHANNAH ALLAH....!!!!!Yaani bora ungezaliwa mende kuliko kuzaliwa ukiwa na akili kama hizi
Aisee, maneno mengi yanaungana na ukweli, ila in reality unawezaje kuwatoroka KGB kindezi ndezi kama alivyosema yeye?
Ni kweli, wakati naangalia ile clip ya yule binti anavyoelezea nilikua na mtu pembeni tunaangalia wrote, maelezo ya kwamba chakula chake muda mwingi ni maji nikasema huyu Dr siyo mtu wa kawaida.Kwani Dr. Shika mwenyewe ni ndezi? Hatuyajui mengi kumhusu huyu jamaa. Anaweza kuwa mtu hatari sana kwenye fani ya ujasusi. Unaweza kuta jamaa hata kutumia silaha na martial arts yupo vizuri pia. Never underestimate mysterious person like him. Baada ya stori ya britanicca unaweza kuelewa kwanini alikuwa anakaa ndani siku kadhaa kama alivyoelezea mpangaji mwenzie kule ayotv.
OkSio kila kitu ni siasa...Huyu jamaa amepata matatizo kweli na ukweli halisi anao mwenyew
ndioYote haya umeyajua kwa siku moja tu tangu ufike Moscow?
Lancefort Ltd - Пошук Googlenakataa kabisa,ukiangalia hiyo website hakuna picha za ofisi,adress ya kampouni hakuna, e mail wanatumia msn wakati proffesionally ilitakiwa labda drshika@lancefortltd.ru then angalia vizuri website yao..www.lancefort.narod.ru ni free hosting sio za kulipia thats why kuna narod katikati ni kama .blogspot.com au .yola.com,website kwa mjanja akiingalia kwa macho tu changa la macho
Uki search google hawana rekodi ya kueleweka no results kabisa,kampuni moja inafanya shughuli kama 40,kuanzia fertilisers,petroleum,pharmaceutical hakuna hata picha za ma executives,mnadanganyika sababu kuna website tena ya free hosting?
CIA,FBI watengeneze bogus company in a foreign soil ambayo ina deal hadi na gesi na petrol?they must be crazy,CIA,FBI wakitaka info nzuri za nchi kama Russia huwa wanatumia wan KGB wa kulekule ndani(MOLES)refer story ya OLEG KALUGIN
nakataaa nakataaaa nakataaaaa ,mtoa mada hata kama kaeleza alichoambiwa simply ni kwamba mzee LUNYALULA KIDOLA aliwanywesha chai ya moto wabongo wa huko ku explain issue yake ya kukatwa vidole na kupoteza meno aka acome up with a fascinating story. NOOOOO
Yawezekana mende nae anataman kuwa binadamYaani bora ungezaliwa mende kuliko kuzaliwa ukiwa na akili kama hizi