Baada ya kufika Moscow leo nimeamua kufuatilia saga la Dr. Shika, kumbe anasema ukweli

(Picha nimefuta kwa kutiliwa shaka naweza kuwa nime changanya kampuni ....mbili zenye jinya sawa lancefort ltd hii nlio futa ikiwa na kesi nchini Ireland na ya Dr ikiwa Urusi.)

ila namba za simu sija kosea nina namba za kampuni yake enzi hizo
Na hizi ni namba zake za simu enzi hizo 70951399186 (sina uwakika kwa sasa nani anazimiliki) so kuwa mwangalifu ukitaka zitumia kwa lolote.
 

Attachments

  • Screenshot_20171118-174306.png
    80.4 KB · Views: 73
Mkuu hizi ni kampuni mbili tofauti hata ukisoma hiyo kesi mkurugenzi hakuwa shika
 
Mkuu hizi ni kampuni mbili tofauti hata ukisoma hiyo kesi mkurugenzi hakuwa shika
Sawa Kiongozi ngoja niondoe hii picha na kubakiza maneno ila namba nina uwakika nazoa hata @britanicca ana weza kuprove huko aliko kuwa namba hizo zilikuwa ziki muhusu Dr
 
Kwa Tanzania sio jambo geni, mnakumbuga Mzee wakikombe@ ambikie mwakipasile
 
Me naona story iendele ikiwa ya uwongo poa tu watu tunabuludika maisha yanaemdelea ...japokiwa chuma kimekaza
 
mambo mengi ya Urusi hayapo googlyau mtandaoni unless otherwise uandike kwa kirusi
 
Kwa upande wangu mimi naamini Dr shika ni mtu makini anayejielewa sana ila kwa wale waliokuwa wanakimbilia kujibu maswali ya kuchagua shuleni watamuona kama kichaa.. Dr Shika anaakili kuliko 95 %ya watanzania ndio maana wengi hawamuelewi na hawa waandishi wetu wenye D mbili hawamuulizi maswali ya maana zaidi ya maswali ya kiudaku udaku tu...
 
Dimitry Vorontsov ni rafiki yake Dr shika, anaishi Moscow na amekuwa akikutana na dr kwa kipindi cha nyuma, anaeleza kwamba kwa mazingira ya kesi ya Dr shika hana uhakika kama atapata hela yake kama anavyotegemea shika,

Amesema yuko na taarifa na anajua kwamba Dr Shika alikuwa akitunza hela kwenye akaunti mbali mbali nchi zaid ya moja,

Ameeleza kwamba ili shika apate hela yake haikubidi aweke malipo ya Bima kama account yake iko active . Transaction yeyote lazima uiwekee bima sawa ili kuepuka risk za udanganyifu na kutuma kwa mtu hasiye muhusika, lakin hela ya malipo ukatwa moja kwa moja kwenye akaunt husika,

kama account iko dormant inabidi kuifanyia activation ambapo kuna malipo yanafanyika kuactvate account na malipo hayo yanakatwa kwenye kiasi kilicho kwenye akaunti ya mteja,

Ameshangazwa kabisa na kuhusu Shika kulipishwa Bima wakati akaunti zake zina hela , kwa hali ya kawaida amesema mazingira haya yanachanganya,

Pia amesema anajua yaliyompata rafiki yake na msuko suko aliopitia anaweza akawa ameathirika kisaikolojia, alibidi asaidiwe kwa ukaribu na watu wenye akili timamu, maana Shika ana mali nyingi anashidwa kuzi handle kutokana na tatizo la kisaikolojia, ama serikali ingeingilia kati,

Nchi ambazo Dr Shika ameweka hela ni
1.Ukraine
2.Thailand
3.Indonesia
4.Netherlands

lakin kwa kawaida

sababu za kwanini alikuwa anaweka hela uko ni kwasababu wawekezaji wengi na vyanzo vyake vya hela vilikuwa uko

Mwisho, Dr shika hela anayo ila kwenye suala la BIMA ameingizwa pasipo

JINSI SHIKA ALIVYOTOROSHWA MPAKA TANZANIA

Alisaidiwa na USA kutorokea Ukraine Dinipro kwa ndege maalumu ya wanajeshi ambayo iliwapeleka watu takriban 22 akiwemo shika, na baadae akapelekwa Tanzania

Katika kusafirishwa hakutumia nyaraka kamili za kusafiria alipewa special pass yenye jina tofauti na jina lake mpaka dar es salaam.

Familia yake imekuwa vigumu kuipata na nimepigwa stop kuendelea kufuatilia suala ili na sikufanikiwa kuwaona wanawe na mke wake wa kirusi,
 
britanicca hii sukari guru unayotupikia ni kwq hisani ya nani?!

Mtu alikuwa mtumishi wa umma kama daktari ila a kapata scholarship ya kuongeza elimu huko Urusi,ghafla awe milionea?! Moscow kwa anaeifahamu ni ngumu sana kwa mwafrica hata uwe mtoro wa waziri fisadi ukafika na kuwa mfanyabiashara mkubwa na ukwasi!!

Wengi wanaosoma Russia toka Tanzania wanategemea boom ambalo huwa halitoki hadi waandamane kwenye ubalozi kipindi cha baridi kali na enzi za kina Dr Shika boom lilikuwa hali zizi dola 3500$ kwa mwaka

Kwa kumbukumbu zangu ni kuwa vibarua vya inostranii wakati wa summer havizidi ruble 500 kwa siku ambayo kwa exchange rate ya dolar ni 1$ kwenye 60 ruble kwa sasa na vichache sana iwe kwenye mahotel ama migahawa kwa hawapendi kuajiri chornii/bblacks.

Mnataka tuamini ghafla alienda huko na utajiri wake?!!

Chuo cha PFUR/RUDN aAma enzi za Jina la Lumumba hapo Mikluho Maklaya Street ni chuo cha Warusi kwq ajili ya nchi marafiki na wao kiasi na ndio maana kinaitwa People'ss Friendship University of Russia na huwezi fananisha na chuo kama MGY!!

britanicca unatuletea hekaya hizi wewe ukiwa kama mwandishi wa habari za uchunguzi ama umeamua tu kujituma mwenyewe kwa kutumia hela zako na muda wako ili uchimbue ukweli ama una lip wa? !! Nauliza tu ili niweze kufahamu the motive behind!!

Sakata la Dr Shika ni uhuni tu wa propaganda na Watanzania kupumbazwa,mtu ambae amekosa hata fedha za kwenda kwao kuzika wazazi wake tunaaminishwa ni tajiri. Alaaniwe aliyeibua ujinga huu!!!
 
ndo maana watu wanahisi kwamba alikuwa anatumiwa na watu wenye masilahi binafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…