Dimitry Vorontsov ni rafiki yake Dr shika, anaishi Moscow na amekuwa akikutana na dr kwa kipindi cha nyuma, anaeleza kwamba kwa mazingira ya kesi ya Dr shika hana uhakika kama atapata hela yake kama anavyotegemea shika,
Amesema yuko na taarifa na anajua kwamba Dr Shika alikuwa akitunza hela kwenye akaunti mbali mbali nchi zaid ya moja,
Ameeleza kwamba ili shika apate hela yake haikubidi aweke malipo ya Bima kama account yake iko active . Transaction yeyote lazima uiwekee bima sawa ili kuepuka risk za udanganyifu na kutuma kwa mtu hasiye muhusika, lakin hela ya malipo ukatwa moja kwa moja kwenye akaunt husika,
kama account iko dormant inabidi kuifanyia activation ambapo kuna malipo yanafanyika kuactvate account na malipo hayo yanakatwa kwenye kiasi kilicho kwenye akaunti ya mteja,
Ameshangazwa kabisa na kuhusu Shika kulipishwa Bima wakati akaunti zake zina hela , kwa hali ya kawaida amesema mazingira haya yanachanganya,
Pia amesema anajua yaliyompata rafiki yake na msuko suko aliopitia anaweza akawa ameathirika kisaikolojia, alibidi asaidiwe kwa ukaribu na watu wenye akili timamu, maana Shika ana mali nyingi anashidwa kuzi handle kutokana na tatizo la kisaikolojia, ama serikali ingeingilia kati,
Nchi ambazo Dr Shika ameweka hela ni
1.Ukraine
2.Thailand
3.Indonesia
4.Netherlands
lakin kwa kawaida
sababu za kwanini alikuwa anaweka hela uko ni kwasababu wawekezaji wengi na vyanzo vyake vya hela vilikuwa uko
Mwisho, Dr shika hela anayo ila kwenye suala la BIMA ameingizwa pasipo
JINSI SHIKA ALIVYOTOROSHWA MPAKA TANZANIA
Alisaidiwa na USA kutorokea Ukraine Dinipro kwa ndege maalumu ya wanajeshi ambayo iliwapeleka watu takriban 22 akiwemo shika, na baadae akapelekwa Tanzania
Katika kusafirishwa hakutumia nyaraka kamili za kusafiria alipewa special pass yenye jina tofauti na jina lake mpaka dar es salaam.
Familia yake imekuwa vigumu kuipata na nimepigwa stop kuendelea kufuatilia suala ili na sikufanikiwa kuwaona wanawe na mke wake wa kirusi,