Baada ya kufika Moscow leo nimeamua kufuatilia saga la Dr. Shika, kumbe anasema ukweli

Baada ya kufika Moscow leo nimeamua kufuatilia saga la Dr. Shika, kumbe anasema ukweli

Hahaha saa hizi anaalikwa kwenye Makanisa makubwa makubwa na ana miliki vimwana wakali wakali japo ana wakopa bado!! Yaani anawamiliki kwa mkopo....mademu bhana wakishaona tumaini la pesa lipo tu, baaaaaasi.
hahahaha
 
Mkuu this is too low as a general reply unless utarudia tena aya kwa aya!!!
kwanza nimeamua kujitoa mwenyewe kufuatilia suala hili maana nipo uku ambako saga lilitokea
pili, kuhusu hela kapata wapi hiyo ni siri yake na ndiyo maana watu wanasema kuwa kuna la kuchunguza zaid atapata wapi hela hiyo wakati hakuwa nayo?
 
Dimitry Vorontsov ni rafiki yake Dr shika, anaishi Moscow na amekuwa akikutana na dr kwa kipindi cha nyuma, anaeleza kwamba kwa mazingira ya kesi ya Dr shika hana uhakika kama atapata hela yake kama anavyotegemea shika,

Amesema yuko na taarifa na anajua kwamba Dr Shika alikuwa akitunza hela kwenye akaunti mbali mbali nchi zaid ya moja,

Ameeleza kwamba ili shika apate hela yake haikubidi aweke malipo ya Bima kama account yake iko active . Transaction yeyote lazima uiwekee bima sawa ili kuepuka risk za udanganyifu na kutuma kwa mtu hasiye muhusika, lakin hela ya malipo ukatwa moja kwa moja kwenye akaunt husika,

kama account iko dormant inabidi kuifanyia activation ambapo kuna malipo yanafanyika kuactvate account na malipo hayo yanakatwa kwenye kiasi kilicho kwenye akaunti ya mteja,

Ameshangazwa kabisa na kuhusu Shika kulipishwa Bima wakati akaunti zake zina hela , kwa hali ya kawaida amesema mazingira haya yanachanganya,

Pia amesema anajua yaliyompata rafiki yake na msuko suko aliopitia anaweza akawa ameathirika kisaikolojia, alibidi asaidiwe kwa ukaribu na watu wenye akili timamu, maana Shika ana mali nyingi anashidwa kuzi handle kutokana na tatizo la kisaikolojia, ama serikali ingeingilia kati,

Nchi ambazo Dr Shika ameweka hela ni
1.Ukraine
2.Thailand
3.Indonesia
4.Netherlands

lakin kwa kawaida

sababu za kwanini alikuwa anaweka hela uko ni kwasababu wawekezaji wengi na vyanzo vyake vya hela vilikuwa uko

Mwisho, Dr shika hela anayo ila kwenye suala la BIMA ameingizwa pasipo

JINSI SHIKA ALIVYOTOROSHWA MPAKA TANZANIA

Alisaidiwa na USA kutorokea Ukraine Dinipro kwa ndege maalumu ya wanajeshi ambayo iliwapeleka watu takriban 22 akiwemo shika, na baadae akapelekwa Tanzania

Katika kusafirishwa hakutumia nyaraka kamili za kusafiria alipewa special pass yenye jina tofauti na jina lake mpaka dar es salaam.

Familia yake imekuwa vigumu kuipata na nimepigwa stop kuendelea kufuatilia suala ili na sikufanikiwa kuwaona wanawe na mke wake wa kirusi,
unaona sasa chai zako umeanza kuumbuka
kwa hio sisi tuliokwambia huyo jamaa mgonjwa ukatuona maroboti

cc elmagnifico
 
kwanza nimeamua kujitoa mwenyewe kufuatilia suala hili maana nipo uku ambako saga lilitokea
pili, kuhusu hela kapata wapi hiyo ni siri yake na ndiyo maana watu wanasema kuwa kuna la kuchunguza zaid atapata wapi hela hiyo wakati hakuwa nayo?
acha uongo bana.
 
Mkuu yani amegundua sasa hivi hakuna ela dr kapigwa ameanza kutwist story.
Dr alikuwa anatafuta fursa kwa sasa kaipata anatokea kwenye video ya nyimbo ya madee soon.
mimi huyu jamaa aliniudhi kukomaa kudanganya watu humu
na wabongo tunawaambia kabisa fikirieni acheni kuweka akili nyuma..wakawa wanadharau
 
Back
Top Bottom