Baada ya kufika Moscow leo nimeamua kufuatilia saga la Dr. Shika, kumbe anasema ukweli

Hehe
 
Hahaha
 
Jamani huyu Dr Shika si alisema hela kaletewa tayari anamtaka Waziri Mkuu au Rais aende akamgawie za Watanzania?
km bado nimeamini Mirembe inamuita
 
Jamani huyu Dr Shika si alisema hela kaletewa tayari anamtaka Waziri Mkuu au Rais aende akamgawie za Watanzania?
km bado nimeamini Mirembe inamuita
Mbinu za ccm tu hizo kidivert attention za watu kwenye mambo ya msingi
 
Dah
 
Iv Dr shika saiv kafikia wapi na mipango yake
 
mkuu kila kitu kilienda sawa si unajua kwa kazi ya uku kupeleleza imeisha imebaki huko bongo
pale uliposema itaendelea j3 mkuu kwa mujibu wa maelezo yako haya hapa chini


Itaendelea baadae na nitasimulia nani alimtorosha na alitumia mbinu zipi, nani anashikiria hela yake na kwanini anaambiwa ailipie bima.

Ninakutana na muhusika kesho Jumatatu asubuhi njema
 
Sawa mkuu tunangoja mwendelezo.halafu kama akizipata kwa awamu hii ... atakula na kina serikali!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…