unruly gang
Member
- Nov 17, 2017
- 45
- 32
Cha kujiuliza ni why america wako nyuma ya dokta shika mpaka leo wakati tz haina mpango naekama vile ni agent wa CIA nikiunganisha dots
maana tuliambiwa/kuna uzi ulisema ubalozi wa tanzania ulimtelekeza lakini ubalozi wa marekani ulimtembelea akiwa hospitali kama sijakosea