Baada ya kufika Moscow leo nimeamua kufuatilia saga la Dr. Shika, kumbe anasema ukweli

Baada ya kufika Moscow leo nimeamua kufuatilia saga la Dr. Shika, kumbe anasema ukweli

Jinsi ambavyo maandishi kumuhusu huyu mzee yanavyoongezeka ndivyo uongo unaanza kujidhihirisha......ninachokiona kwa mleta uzi ni kama anapita mulemule alipoelezea Dr. Shika mwenyewe ila kuna maboresho kidogo.

Ili niweze kuamini zaidi lete habari ambazo Dr. Hajasimulia mfn...kuhusu mke wake Mrusi jina lake na hata picha yake, watoto wake na picha zao.
 
Huu ni uongo ambao kila mtu ambaye anapata mud anaamua kuutungia kastory kake. Ni upuuzi sana kukaa kudanganyana kwa hbr hizi. Mimi pia nipo moscow kama wasanii wengine wanavyopenda kusainisha.
 
Mmmhh.. Nafikiri Foreign ministry yetu ijaribu kuchunguza hili swala na kama ana hela huko nje, asaidiwe kidiplomasia atapewa hela yake.. Au Dr. Shika aende U.S embassy na kumuina Ambassador na kumweleza A-Z, pia Balozi wa Royal Netherlands and Ukraine hapa nchini wamsaidie ili kama ana fedha watamsaidia kuzipata
 
Hahaha saa hizi anaalikwa kwenye Makanisa makubwa makubwa na ana miliki vimwana wakali wakali japo ana wakopa bado!! Yaani anawamiliki kwa mkopo....mademu bhana wakishaona tumaini la pesa lipo tu, baaaaaasi.
Hahahahahahaaaa...
 
Shika ndani ya dege akirudi sehem,.mabilioni hayoooo
 

Attachments

  • FB_IMG_1511429511269.jpg
    FB_IMG_1511429511269.jpg
    21.7 KB · Views: 101
I just wonder if Dr Shika himself is not taking about his life, who are we to indulge ourselves in ones personal affairs.

Huu ni udaku usioeleweka, NA pia ni kumchongea Dr Shika kwa taasisi za kijasusi, NA majangili watakaofikiria huyu bwana anahela.

Tanzanian if we could focus on issues that matters most in building ourselves and our nation we would have been very far. Lakini twapenda udaku NA kuhatarisha maisha yetu NA ya wenzetu
 
Back
Top Bottom