Baada ya kufika Moscow leo nimeamua kufuatilia saga la Dr. Shika, kumbe anasema ukweli

Baada ya kufika Moscow leo nimeamua kufuatilia saga la Dr. Shika, kumbe anasema ukweli

Ndio maana ana uhakika wa kununua ile mijengo,kumbe hela iko kwenye process!atapata hela yake,wamarekani wakisha kutumia kwenye mission kubwa kama hiyo lazima wakuwezeshe...
 
Hebu nikae hapa mlangoni ili kila kinachoingia kwny uzi huu nikipate, maana kila siku naona unazidi kunoga tu.
 
Back
Top Bottom