britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
- Thread starter
- #1,081
Umeona heNaanza kupata mwanga kwa hili tukio na huyu mtu..kuna mambo yanafanyika hapa duniani ukisimuliwa unaweza dhani ni hadithi za juma na uledi..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeona heNaanza kupata mwanga kwa hili tukio na huyu mtu..kuna mambo yanafanyika hapa duniani ukisimuliwa unaweza dhani ni hadithi za juma na uledi..
Ndio maana ana uhakika wa kununua ile mijengo,kumbe hela iko kwenye process!atapata hela yake,wamarekani wakisha kutumia kwenye mission kubwa kama hiyo lazima wakuwezeshe...
Aisee, maneno mengi yanaungana na ukweli, ila in reality unawezaje kuwatoroka KGB kindezi ndezi kama alivyosema yeye?
Sakata ili limeishaHivi sakata lake limeishia wapi mkuu britanicca
watanzania kwa kufuatilia umbea wako makini
HakunaUzi umefukuliwa,labda hela imeingia
Hela ya Dr ShikaHebu nikae hapa mlangoni ili kila kinachoingia kwny uzi huu nikipate, maana kila siku naona unazidi kunoga tu.