Baada ya kufikisha miaka 30 uligundua kimebadilika nini katika maisha yako?

Mwakani Nagusa 26.

Kwa kweli Ngoma bado mbichi.
 
Pumbu zinakuwa zinazidi kuning'inia Kama vile ngozi iliyozishikilia inalegea zaidi
 
Mafanikio ya mwafrika ni

1-Nyumba.

2-Familia.

3-Shamba.

4-Gari.

5-Biashara.

Ukiishi kwenye Taifa na Bara lenye watu wenye fikra na mentality hizi maendeleo ya taifa kwa ujumla kwenye nyanja za kiuchumi, kimiundombinu, kisayansi na teknolojia yatachukua muda sana.
 
Hii pia ni sababu inayo fanya ata kifamilia watuzidi... dg anaoa akiwa na 21, mimi binafsi nimechelewa kwasabubu ya shule
 
29 na bado unaongea kiswahili cha kihuni wazee skuizi hamjiheshimu
 
Aisee wakuu niliposoma Uzi huu nimehisi baridi. Mm Nina 26 naelekea 27 ila bado mbombo ngafu. Sasa hiyo 30 sijui nitakua nimefanikiwa nilicho panga au laa
 
Hatujatofautiana sana mkuu ila tuendelee kukaza buti
 
Home nillikotoka Kuna madogo wa na miaka 22 na wananyumba zao na wake zao. Nikasema hii
 
Lakini wapo mkuu vunjabei akiwa na 34 alitangazwa ana net ya bil 4 je at 30 nyumba hata 10 si alikuwanazo
Hata sijapinga rafiki yangu wapo ambao wanafanya hvo na wapo zaidi ya hapo
 
Binafsi kujisikia vibaya makes me work harder in every area nnayotaka kuimprove.
Progress inaleta furaha
True mkuu ukijisikia vibaya inafanya umakinike zaidi na mchakato wa maisha kwamba unakua mwangalifu nakuachana na vitu vinavyokurudisha nyuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…