Baada ya kufikisha miaka 30 uligundua kimebadilika nini katika maisha yako?

Baada ya kufikisha miaka 30 uligundua kimebadilika nini katika maisha yako?

Umri huo ni wa kujiwekeza kweli kweli, iwe kiuchumi au kielimu. Una plan za kuwa daktari kama kina Musukuma then it's high time uende shule ukamalizie ukichotaka kufanya.

Ni umri wa kuanza/kumaliza mambo ya uzazi, kama ukichelewa kwenye 20s hukupata watoto, ndio mda pekee ulionao wa kuwatafuta.

Kiuchumi, aisee here is where unatakiwa kupigana kiume kabisa, kibongo hapa uwe na walau kiwanja, yaani kiwepo na uanze ujenzi kabla majukumu ya malezi/elimu hayajakutinga. Ni ngumu sana kujenga ukiwa na watoto huko "yellow-bus-schools".

Ukifika 40s uwekezaji uwe unaonyesha matunda, yaani kama ni ajira basi ipo na ya uhakika, kama ni investment zipo na zinatija coz ukichelewa hapo it will be almost too late to regroup yourself, utaishia kulaumu, kuomba siku zirudi nyuma ili ufix baadhi ya mambo.

Bahati mbaya sana, 20s naona wengi wa vijana wapo tu, yaani kijana yupo 26 anajiona bado mdogo sana, tena binti anakuambia kabisa yeye bado mdogo...dadeq!
Mwakani Nagusa 26.

Kwa kweli Ngoma bado mbichi.
 
Pumbu zinakuwa zinazidi kuning'inia Kama vile ngozi iliyozishikilia inalegea zaidi
 
Mafanikio ya mwafrika ni

1-Nyumba.

2-Familia.

3-Shamba.

4-Gari.

5-Biashara.

Ukiishi kwenye Taifa na Bara lenye watu wenye fikra na mentality hizi maendeleo ya taifa kwa ujumla kwenye nyanja za kiuchumi, kimiundombinu, kisayansi na teknolojia yatachukua muda sana.
 
Miaka 30 kwa zama hizi sio mingi yaani usiposhangaa hata kujipanga bado sana.

Sababu kubwa na kutafuta elimu ,ebu jaalia umalize chuo ukiwa 22 au 23 then ujipange labda biashara au ajira ya fasta ..

Ila dogo wa mtaani bila ya kusoma alifika miaka 18 lazima aanze harakati za kutafuta pesa maana hana excuse ...Ina maana mpaka alifika miaka 30 yupo kweny game ya kutafuta pesa kwa miaka zaidi ya 12 ,kama ni biashara zishasimama au zimekufa.
Hii pia ni sababu inayo fanya ata kifamilia watuzidi... dg anaoa akiwa na 21, mimi binafsi nimechelewa kwasabubu ya shule
 
Mwakani 2024 july , ndiyo nagonga napanda ghorofa ya 30 ,yaaani sina direction yoyote bali nipo najaribu mishe za udalali wa bidhaa za mbao......sijui ntatoboa ????!! Maana hata mdada wa uhakika , wa kummwagia. Shahawa zangu sina yaaaani dahhhh hata sielewiiiiii
29 na bado unaongea kiswahili cha kihuni wazee skuizi hamjiheshimu
 
Aisee wakuu niliposoma Uzi huu nimehisi baridi. Mm Nina 26 naelekea 27 ila bado mbombo ngafu. Sasa hiyo 30 sijui nitakua nimefanikiwa nilicho panga au laa
 
Mwakani 2024 july , ndiyo nagonga napanda ghorofa ya 30 ,yaaani sina direction yoyote bali nipo najaribu mishe za udalali wa bidhaa za mbao......sijui ntatoboa ????!! Maana hata mdada wa uhakika , wa kummwagia. Shahawa zangu sina yaaaani dahhhh hata sielewiiiiii
Hatujatofautiana sana mkuu ila tuendelee kukaza buti
 
Home nillikotoka Kuna madogo wa na miaka 22 na wananyumba zao na wake zao. Nikasema hii
 
Binafsi kujisikia vibaya makes me work harder in every area nnayotaka kuimprove.
Progress inaleta furaha
True mkuu ukijisikia vibaya inafanya umakinike zaidi na mchakato wa maisha kwamba unakua mwangalifu nakuachana na vitu vinavyokurudisha nyuma.
 
Back
Top Bottom