Baada ya kufikisha miaka 30 uligundua kimebadilika nini katika maisha yako?

Hiyo miaka 30 kwa mwanamke tayari kashakuwa msimbe au kibungo kwa ambao hado hawajaolewa huwa wanahaha sana kutafuta mume kwa manabii, wengine kwa waganga

Utawasikia wengine wakijifariji kwanza kuolewa sio lazima

Ikitokea akapata ZALI la kuolewa kwenye harusi anaruka ruka kama ndama na nyimbo za vijembee kibao

Ndo unajua kumbee alikuwa anaitaka😂😂
 
Hiyo miaka 30 kwa mwanamke tayari kashakuwa msimbe au kibungo kwa ambao hado hawajaolewa huwa wanahaha sana kutafuta mume kwa manabii wao wengine kwa waganga

Utawasikia wengine wakijifariji kwanza kuolewa sio lazima

Ndo maana ikitokea akapata ZALI la kuolewa kwenye harusi anaruka ruka kama ndama na nyimbo za vijembee kibao

Ndo unajua kumbee alikuwa anaitaka😂😂
Ngoja waje kukupopoa 🤣🤣🤣
 
tulia hapohapo usiondoke
 
Alaf wanasema 20-29 hapa miaka huwa inaenda taratibu ila ukishatoboa 30 miaka huwa inakimbia balaa na kama huna ramani watu wanakutenga kila mtu anakuona we siyo mwana wanaona hujielewi na ni mzembe hata babaako hataki kukuona
Ukiwa unasindikiza jua tu bila cha kufanya, miaka huwa haisogei ila ukiwa busy, utaona miaka inakimbia.

By the way, ukishavuka 25 hapo presha za maisha zinaanza kuwa intensive
 
Ni umri hatari sana huo hasa mambo yakiwa hayajakaa sawa na ukiwacheki Homies wako kila mmoja anamaisha yake presha huwa ipo juu sana
 
Unakosa nauli ya kupanda boda usafiri ukisumbua halafu unawaona classmates kila siku wanapost flights tu. Lazma uchanganyikiwe lakini kama unamuamini Mungu walo, na kujua kila mtu ana safari yake.

Utaweka akili zaidi kwenye michakato
 
Back
Top Bottom