choza choza
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 2,081
- 3,831
Yani Aslay, Janjaro, Elizabeth Michael ndio agemate wangu ila wao mastaa kitamboo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16][emoji16]Hiyo miaka 30 kwa mwanamke tayari kashakuwa msimbe au kibungo kwa ambao hado hawajaolewa huwa wanahaha sana kutafuta mume kwa manabii wao wengine kwa waganga
Utawasikia wengine wakijifariji kwanza kuolewa sio lazima
Ndo maana ikitokea akapata ZALI la kuolewa kwenye harusi anaruka ruka kama ndama na nyimbo za vijembee kibao
Ndo unajua kumbee alikuwa anaitaka[emoji23][emoji23]
Hii kauli iogope sanaa.. ya kuwa mdogo.. itakufelisha kwa mengiBado dogo sana,msalimie wifi wese.
Umeoa?, unakazi? ,una biashara? Watoto je??Juzi tuu nilikua 20s, leo bado miwili tuu kufika 30, miaka inakimbia sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],kwamba??Hii kauli iogope sanaa.. ya kuwa mdogo.. itakufelisha kwa mengi
We nipe mm niipige moshi tatu achana na huyo.Umri huo unatakiwa angalau uwe umeshaonja KIJAMBIO CHA BICHWA KOMWE
Unafeli wapi
Umri huo unatakiwa angalau uwe umeshaonja KIJAMBIO CHA BICHWA KOMWE
Unafeli wapi
Hii ndo jf nayoijua sasaNilifikisha miaka 30 nikiwa tayari nimejenga mjini nyumba za wapangaji tano na za kuishi na wazazi wangu 2 na nimenunua viwanja ambavyo sikuwa nimejenga 3 ila sikuwa na mke wala mtoto