Baada ya kufiwa na mpenzi wake, Lulu arudi Instagram kwa kishindo

Mmmmh kaamua aisee huyo mtoto sasa anahisi nani anapambana nae
 
Mimi bado nilikua huku nasoma ubuyu wa hatariii sehemu.Haya ngoja niende.
 
Kwa kweli haka katoto hata kaue watu mia kakikaa kwenye anga zangu hasahasa mwisho wa mwezi na mm najitoa kaniue tu.

Mghosi
 
Lulu nimekupenda bureee, dah sio kwa vichambo vile asseh, tumekukoma kuanzia leo aseeh
 
Huyo Lulu Hamumjui.Anawapolomosheeni Matusi Ya Nguoni.Halafu Kesho Atarudi Tena Kuwaomba Msamaha Kua Sio Yeye Aliekua Anatukana.Ila Kuna Hackers Wameingilia Akaunti Yake Bila Ruhusa Yake.Na Ndo Walikua Wanaitumia Vibaya.

Yule Mtoto Ni Mjanja Sana.Anajua Kucheza Na Akili Za Watu.
 

We ni msemaji wake au mana kila alifanyalo inaonyesha unamjua vizuri mkuu angalia u si r. I. P kabla ya siku zako mkuu.
 
Usiwe mbishi ni lulu, mbali na kujua michambo yake, rafiki yake wa karibu muna kathibitisha jana, japokuwa kuna account nyingi za lulu ila ya jana ni yake

Hahahaha ni shida binamu, lulu ni kati ya watu ambao awawezi ju survive bila instagram, alafu watu wa instagram kama wangese kitu wakitaka wao lazima kiwe hayo mambo aliyofanya lulu angefanya mtu mwingine wangetaka kumtoa roho lkn kwakuwa ni kikahaba chenzao wanakitetea hadi mishipa inawatoka
 
Nimesoma nimechekajeee halaf kundi la lulu wanajua ni husna wote wanaomchamba wanadhani ni husna looo kawaamuliaaa
 
Lulu nimekupenda bureee, dah sio kwa vichambo vile asseh, tumekukoma kuanzia leo aseeh

Mi nachokaga na watu huko eti nakupenda lulu nakupenda wema jamaniii,,wanawapenda mno hawa wasaniii loo yaan mi nikijitahidi sana ni like natoa basiii wamekazana nakuoendaa hata hawajibiwiii
 
Ni yeye binamu, anatumia lizyymichael, kanchambia watu jana sina hamu nae
Mama Lulu umeelewa sasa kwa nini watu wanamsema Lulu. Anza kumnyamazisha mwanao ndio watu wataacha kumsema. La sivyo utaomba mwanao afe na kufa hafi ila maneno atakutana nayo tu kwa mtindo huu. Anasoma saa ngapi na anashughulika na watu saa ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…