Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo Lulu Hamumjui.Anawapolomosheeni Matusi Ya Nguoni.Halafu Kesho Atarudi Tena Kuwaomba Msamaha Kua Sio Yeye Aliekua Anatukana.Ila Kuna Hackers Wameingilia Akaunti Yake Bila Ruhusa Yake.Na Ndo Walikua Wanaitumia Vibaya.
Yule Mtoto Ni Mjanja Sana.Anajua Kucheza Na Akili Za Watu.
Nimeingia choo cha mashoga!!
Usiwe mbishi ni lulu, mbali na kujua michambo yake, rafiki yake wa karibu muna kathibitisha jana, japokuwa kuna account nyingi za lulu ila ya jana ni yake
Lulu nimekupenda bureee, dah sio kwa vichambo vile asseh, tumekukoma kuanzia leo aseeh
Mama Lulu umeelewa sasa kwa nini watu wanamsema Lulu. Anza kumnyamazisha mwanao ndio watu wataacha kumsema. La sivyo utaomba mwanao afe na kufa hafi ila maneno atakutana nayo tu kwa mtindo huu. Anasoma saa ngapi na anashughulika na watu saa ngapi?Ni yeye binamu, anatumia lizyymichael, kanchambia watu jana sina hamu nae
Lulu katukana sana leo insta yaan balaa
Kamtukana nani? au kawatukana wajinga wajinga walio mfollow