njoo mpenzi kwenye uzi wa lara one
Nishaenda du mabwaku sema anachelewesha
yaani humu kuna makahaba kumbe...!!!
shoga kazi ipopoo!!!
Natamani binamu nifungue account insta ,sema naogopa watafanya mambo yao then watajua jina langu, yan natamani kweli nianzishe mtanange kule insta
Fungua binam lo fungulia email fake namba feki watakupatajeee
Hivi matikibokoyao alikamatwaje wakati yupo china au alikuja bongo niniii
Alikamatwa kabla ajaenda china, nasikia china alipelekwa na wema baada ya kutoka jela...Kilichomfanya akamatwe si alienda kwenye birthday party ya wema kupeleka zawadi za team wema sasa akajitambulisha kabisa na mziki wa kupelekea zawadi akachagua kumbe kuna watu wakaenda kumwambia lemutuz na kajala ndio akakamatwa
Binamu unaweza kufungua kwa jina jingine na ukabadili style ya uandishi kule ndio maubuyu yoote yamejaa
.mi kaniacha hoi eti k....yangu inajenga nyumba,halafu kawauliza eti k......zenu mnafanyia nini?huyu mwana huyu kiboko.sijui amejuaje kwamba zenu hazina kazi au sijamuelewa
Nafanyaje? Maana kuna kipindi nilifungua account fake insta ya kutukana,kuna mtu akaniumbua akaonyesha jina langu la fb na jina nililofungulia account insta, nikaogopa mpaka leo hii naogopa ila natamani maana kule unawapa makavu wasanii live unawatag had raha
Alikamatwa kabla ajaenda china, nasikia china alipelekwa na wema baada ya kutoka jela...Kilichomfanya akamatwe si alienda kwenye birthday party ya wema kupeleka zawadi za team wema sasa akajitambulisha kabisa na mziki wa kupelekea zawadi akachagua kumbe kuna watu wakaenda kumwambia lemutuz na kajala ndio akakamatwa
km ndo yy atakua anatafuta bwana
na nimeamini ukiwa malaya sana wa waume za watu una kosa haya ktk uso wako MUNGU anaiondosha nuru ya aibu..
just few days after tragedy unarudi kwa vishindo...!!e
ni pepo huyu dada aiseee!!
Na huko China naskia anajiuza zake na baadhi ya wabongo ndo mana alimwambia lemutuz akamkamate tena ka ana ubavu huko Thailand.
Hata sikubishii mkuu maana lifestyle anayojifanya anaishi bila kuuza **** awezi, na ikumbukwe hata kazi hana so your 100% true....
Walikua group moja na mdada mmoja aliye fariki tena aliripotiwa na magazeti ya shingongo ndo kazi zao.