Baada ya kufiwa na mpenzi wake, Lulu arudi Instagram kwa kishindo

Lulu's counting... neeeeeext..(shit nyi wanaume alowaloga kaugua uwazimu atajitokeza tu namba 4) msyuuuuu! mtamfata tu Kanumba
 
Hata kama ungekuwa wewe, ungesubiri tu mpaka wakutie vidole machoni! Labda kama u malaika vinginevyo they deserve it +
 
Natamani binamu nifungue account insta ,sema naogopa watafanya mambo yao then watajua jina langu, yan natamani kweli nianzishe mtanange kule insta

Binamu unaweza kufungua kwa jina jingine na ukabadili style ya uandishi kule ndio maubuyu yoote yamejaa
 
Fungua binam lo fungulia email fake namba feki watakupatajeee
Hivi matikibokoyao alikamatwaje wakati yupo china au alikuja bongo niniii

Alikamatwa kabla ajaenda china, nasikia china alipelekwa na wema baada ya kutoka jela...Kilichomfanya akamatwe si alienda kwenye birthday party ya wema kupeleka zawadi za team wema sasa akajitambulisha kabisa na mziki wa kupelekea zawadi akachagua kumbe kuna watu wakaenda kumwambia lemutuz na kajala ndio akakamatwa
 
Uko china alienda kifanya nn au ndo kujiuza
 
Binamu unaweza kufungua kwa jina jingine na ukabadili style ya uandishi kule ndio maubuyu yoote yamejaa

Nafanyaje? Maana kuna kipindi nilifungua account fake insta ya kutukana,kuna mtu akaniumbua akaonyesha jina langu la fb na jina nililofungulia account insta, nikaogopa mpaka leo hii naogopa ila natamani maana kule unawapa makavu wasanii live unawatag had raha
 
Unaacha kufungua fb
 
Alikamatwa kabla ajaenda china, nasikia china alipelekwa na wema baada ya kutoka jela...Kilichomfanya akamatwe si alienda kwenye birthday party ya wema kupeleka zawadi za team wema sasa akajitambulisha kabisa na mziki wa kupelekea zawadi akachagua kumbe kuna watu wakaenda kumwambia lemutuz na kajala ndio akakamatwa

Na huko China naskia anajiuza zake na baadhi ya wabongo ndo mana alimwambia lemutuz akamkamate tena ka ana ubavu huko Thailand.
 
km ndo yy atakua anatafuta bwana
na nimeamini ukiwa malaya sana wa waume za watu una kosa haya ktk uso wako MUNGU anaiondosha nuru ya aibu..

just few days after tragedy unarudi kwa vishindo...!!e

ni pepo huyu dada aiseee!!

mimi amenimaliza nguvu pale aliposema hafanyi umalaya fashion anafanyia kazi. yaani kanimaliza kabisaa, sina hamu nae.
 
Na huko China naskia anajiuza zake na baadhi ya wabongo ndo mana alimwambia lemutuz akamkamate tena ka ana ubavu huko Thailand.

Hata sikubishii mkuu maana lifestyle anayojifanya anaishi bila kuuza **** awezi, na ikumbukwe hata kazi hana so your 100% true....
 
Walikua group moja na mdada mmoja aliye fariki tena aliripotiwa na magazeti ya shingongo ndo kazi zao.
 
Hahaha ji sheedah, lkn bora afanyie kule atapata virus vya kichina vina vina vitamin kidogo akipata virus vya kibongo wala atakaa sana😆😆
 
Back
Top Bottom