Tila-lila2
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 652
- 1,058
Pole sana mkuu,kuficha ficha mambo ndio unazidi kuvuruga,kwanini usiseme kazini kwake ili watu wachukue tahadhari ya kutoambukiza wengine? Ungeweka wazi hata kwa codes ili wafanyakazi wenzake waweze kujitenga na familia pia kupiga nyungu na kutumia dawa asili unavyoficha sehemu ya kazi yake unazidi kuongeza janga zaidi.Tarehe 11 ilinilazimu kusafiri toka Shinyanga hadi Dar-es-Salaam kuhudhuria msiba wa ndugu yangu. Nilifika usiku na bahati mbaya tayari alishazikwa na ushiriki wa ndugu kwenye msiba wake uliwekewa masharti na uongozi wa Serikali.
Washiriki wa mazishi na hata msiba kwa ujumla walitengenezewa mazingira ya hofu kwa sababu vigezo vinavyosemwa kuhusu corona inaoenekana vilijitokeza katika kifo cha ndugu yangu. Tofauti na wengi kufariki wakiwa na umri umeenda kdg mdogo wetu huyu yeye alikuwa bado kijana chini ya miaka 40 na kifo chake kwa kweli kilikuwa ni cha ghafla sana sana na hakuna mtu aliamini kama angeweza kufariki kifo cha vile, kuugua matatizo ya kupumua na ndani ya siku tatu kufariki. Msiba wake umekuwa wa baridi sana na umetuumiza sana familia.
Ingawa hakuna mwanafamilia ameonekana kuwa na dalili za kuambukizwa na Marehemu leo hii ni siku ya nne Dar lakini kwake na marehemu panaogopwa na hata mimi natamani niijue kwanza afya yangu kabla sijarudi Shinyanga. Hatujui ndugu yetu alipatia wapi Corona ingawa mazingira yanaonesha ni kazini kwake (sipataji ili nisilete taharuki).
Ninachotaka kusema hata kama ni kweli kuna maelekezo ya kumalizika kwa uchunguzi wa vipimo kwanza ndipo WaTanzania waanze kupimwa kutambua corona, kwangu nailaumu sana Serikali. Kama mashine za vipimo hivi haziamiki kwanini Serikali isingeagiza vipimo vingine sehemu ingine haraka kwa ajili ya kuokoa afya za WaTanzania.
Kwanini Serikali isingelichukua suala hili kama dharura uchunguzi wa mashine hizo ufanyike usiku na mchana? Iwapo je mashine hizo kweli ni tatizo itachukuwa muda gani kupata zingine?
Hivi kwanini Serikali hii imeweka kiburi sana kuhusu jambo hili? Hivi ni kweli Rais wetu Mpendwa amefikia hatua hii kweli? Yaani waTanzania tunakufa yeye hashtuki kweli?
Hivi ni busara kweli kukubali kuwa hatuna uwezo wa kupata vipimo ambavyo tunaweza kuviamini? Nchi kwa kweli imekuwa ya ajabu sana.
Pamoja na kumkubali Rais wangu kwa hili hapana na inaniuma sana kuona watu wanapoteza maisha kwa sababu eti Nchi yetu haina mashine za kupima corona na zilizopo zinahisiwa kuwa mangumashi.
Ukiguswa na msiba wa corona ndiyo utaona machungu yake.
Acha uongo wako wewe!! Tumeshawajua janja yenu!!Tarehe 11 ilinilazimu kusafiri toka Shinyanga hadi Dar-es-Salaam kuhudhuria msiba wa ndugu yangu. Nilifika usiku na bahati mbaya tayari alishazikwa na ushiriki wa ndugu kwenye msiba wake uliwekewa masharti na uongozi wa Serikali.
Washiriki wa mazishi na hata msiba kwa ujumla walitengenezewa mazingira ya hofu kwa sababu vigezo vinavyosemwa kuhusu corona inaoenekana vilijitokeza katika kifo cha ndugu yangu. Tofauti na wengi kufariki wakiwa na umri umeenda kdg mdogo wetu huyu yeye alikuwa bado kijana chini ya miaka 40 na kifo chake kwa kweli kilikuwa ni cha ghafla sana sana na hakuna mtu aliamini kama angeweza kufariki kifo cha vile, kuugua matatizo ya kupumua na ndani ya siku tatu kufariki. Msiba wake umekuwa wa baridi sana na umetuumiza sana familia.
Ingawa hakuna mwanafamilia ameonekana kuwa na dalili za kuambukizwa na Marehemu leo hii ni siku ya nne Dar lakini kwake na marehemu panaogopwa na hata mimi natamani niijue kwanza afya yangu kabla sijarudi Shinyanga. Hatujui ndugu yetu alipatia wapi Corona ingawa mazingira yanaonesha ni kazini kwake (sipataji ili nisilete taharuki).
Ninachotaka kusema hata kama ni kweli kuna maelekezo ya kumalizika kwa uchunguzi wa vipimo kwanza ndipo WaTanzania waanze kupimwa kutambua corona, kwangu nailaumu sana Serikali. Kama mashine za vipimo hivi haziamiki kwanini Serikali isingeagiza vipimo vingine sehemu ingine haraka kwa ajili ya kuokoa afya za WaTanzania.
Kwanini Serikali isingelichukua suala hili kama dharura uchunguzi wa mashine hizo ufanyike usiku na mchana? Iwapo je mashine hizo kweli ni tatizo itachukuwa muda gani kupata zingine?
Hivi kwanini Serikali hii imeweka kiburi sana kuhusu jambo hili? Hivi ni kweli Rais wetu Mpendwa amefikia hatua hii kweli? Yaani waTanzania tunakufa yeye hashtuki kweli?
Hivi ni busara kweli kukubali kuwa hatuna uwezo wa kupata vipimo ambavyo tunaweza kuviamini? Nchi kwa kweli imekuwa ya ajabu sana.
Pamoja na kumkubali Rais wangu kwa hili hapana na inaniuma sana kuona watu wanapoteza maisha kwa sababu eti Nchi yetu haina mashine za kupima corona na zilizopo zinahisiwa kuwa mangumashi.
Ukiguswa na msiba wa corona ndiyo utaona machungu yake.
Huyo ni muongo tuPole sana mkuu,kuficha ficha mambo ndio unazidi kuvuruga,kwanini usiseme kazini kwake ili watu wachukue tahadhari ya kutoambukiza wengine? Ungeweka wazi hata kwa codes ili wafanyakazi wenzake waweze kujitenga na familia pia kupiga nyungu na kutumia dawa asili unavyoficha sehemu ya kazi yake unazidi kuongeza janga zaidi.
Covid inasumbua kama una kinga dhaifu ,wenye kinga dhaifu sio tu watu wenye umri mkubwa hata wenye magonjwa ambayo yanapunguza kinga nao wanakuwa na kinga dhaifu hata kama wana umri mdogo.
Wewe ndugu zako wamekufa wangapi mkuu?Wengi wanashutuka ndugu zao wakifa kama wewe
Endelea kumpenda rais wako mpendwa.Tarehe 11 ilinilazimu kusafiri toka Shinyanga hadi Dar-es-Salaam kuhudhuria msiba wa ndugu yangu. Nilifika usiku na bahati mbaya tayari alishazikwa na ushiriki wa ndugu kwenye msiba wake uliwekewa masharti na uongozi wa Serikali.